Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Birds of the same feathers flies together........Naa akifika cha kwanza apatiwe buti
Wale vijana waliouwawa tanga (Ude Ude na Ukujan) walikuwa wakifanya muziki chini ya label ya huyu producer....hapa ukiunganisha dots unaweza kuelewa tu nini kinaendelea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtoto wa giligilani na mdalasini ,laini laini kuwa jambazi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Ukimkuta kwenye anga zake ndio utauona ulaini wake!Mtoto wa giligilani na mdalasini ,laini laini kuwa jambazi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Hao majambazi walio kufa juzi ni marafiki zake wa karibu so ni kweli kabisa lisemwalo lipo nduguLisemwalo lipo