Bob Junior Akamatwa na Polisi Kwa Tuhuma za Kushirikiana na Majambazi

Bob Junior Akamatwa na Polisi Kwa Tuhuma za Kushirikiana na Majambazi

huyu naye achunguzwe vizuri , wenzie wawili wameuwawa Tanga Kwa ujambazi
 
Wale vijana waliouwawa tanga (Ude Ude na Ukujan) walikuwa wakifanya muziki chini ya label ya huyu producer....hapa ukiunganisha dots unaweza kuelewa tu nini kinaendelea
 
Wenzio roho zimeacha mwili aisee kama izo tuhuma za kweli acha kabisa bobjunior lasivo una tafuta umauti!
 
Kuna msemo mmoja wa kiswahili.....Umdhaniae siye,kumbe ndiye
Pia Sura sio roho....na Swamak nkunje angali nmbichiii.
 
Wale vijana waliouwawa tanga (Ude Ude na Ukujan) walikuwa wakifanya muziki chini ya label ya huyu producer....hapa ukiunganisha dots unaweza kuelewa tu nini kinaendelea

Na nimesikia intavyuu moja yule dogo mmoja alishakamatwa akitokea bilcanas kwenye shoo na wazee wa difenda akakaa keko miez3 kwa kosa kuwa gari anayotumia imetumika kwenye ujambazi. Alipotoka ndo akahojiwa akajitetea kuwa ile gari alikodi na mtu aliyemkodisha alizima simu na akajificha.

Hio ilikua 2014.......onganisha dots
 
TATIZO HAWA WASANI NI KUWA UKARIBU N'A HAO WEZI!MAGOMENI WEZI WA VIFAA VYA MAGARI WANAJUKIKANA N'A KUNA WAKATI WALIKUWA WANTED,MFANO KINA DOGO WA KIARABU HIVI ANAITWA CHAMBO aka MAJOR
HAO NDIYO WANA KUNDI LAO LA KUIBA POWER WINDOWS,LAPTOPS N'A SIM KWENYE MAGARI.....KUNA WAKATI QCHIEF AKIJINGIZA AKAWA ANA CRUZ NAO ......WALIKUWA WANATUMIA ESCUDO SHORT CHASES NYEKUNDU ILIKUWA MAARUFU SANA WALIWAIBIA SANA WATU MASAKI,SLIPWAY,UPANGA WAKAANZA KUINGIZA USWAZI PIA WAKIONA GARI WANAIBAA VIFAAA VYAKE....
QCHIEF WATU WALIMUONYA---:AKAJITOA NAONA,MIMI MWENYEWE WASHANIPIGAGA LAKINI WALIVIRUDISHAAAAGA MAANA WALIJUAA WAMEINGIA KWA FRM MASTER ...
KINACHOWA WAUMIZA HAWA WASANII NI KUJIWEKA UKARIBU NAO HAWA WEZI MAANA WASANI WASHAZOEA VYA BURE KUANZIA KUAZIMA MAGARI ETC,
 
Wasije tuletea taarifa kuwa alikimbia wakati yuko mikononi mwa polisi ndo maana tuka mnyang'anya silaha haraka..! Wampeleke tu mahakamani kama kweli atakuwa na kesi ya kujibu.
 
Huyu ndiyo aliyemtoa Diamond! Adakwe na achunguzwe
 
Back
Top Bottom