Bob Junior ampigia magoti Diamond Platnumz na kumlilia kama mtoto

Mimi nikajua nitakuta mtu analia huku anagalagala kumbe kichwa cha habari na uzi haviendani hata kidogo.
Maripota wa Bongo ni shida
sasa we unataka aliye vipi?


Bob Junior anajipendekeza sana kwa dai siku hizi ili arudi kwenye chati sema ndio hivyo dai ameshamfungia vioo .
 
Anakatika nyonga huyu kama dada, halafu aliwahi kusema wanaume wengi wanamtaka kimapenzi kwa vile wanamuona ye mzuri
 
Huyu jamaa nilimuona juzi anahojiwa Na Clouds TV. Inaonekana anaumwa Na anahitaji msaada mkubwa.
 
Huyu alikuwa anaweza kukata mauno siyo muziki..afanye shughuli nyingine ya kujiongezea kipato,asilazimishe kitu asicho mudu/kuweza.
 

hahaha mkuu acha utani bana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kelele zotee ulikua unavuta attention kwa media, ume andika huo utumbo post za mbele anaweka vipande vya video ya nyimbo mpya ndio mwenye akili uelewe kila mtu anatafuta kiki kwa diamond bila simba nyimbo inaishia studio alikorekodia mond hongera bila wewe hakuna bongo flava !!tonya boy nae kelele zote za zilipendwa anatoa nyimbo pia hahaa diamond hongeraaa visanii vyote vilivyopotea vitatelezea kiki kwako ili vifufuke.
 
Mkuu HUYU jamaa apambane na hali yake aisee mana hakuna namna...kwani ukimsaidia mtu mpaka fadhila ilipwe..?
 
Kapotea njia huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…