R.I.P mzee wetu , ila huyu mzee cdm walimtupa na hawakumpa hata matibabu apart from mchango mkubwa alioutoa kwenye chama
R.I.P mzee wetu , ila huyu mzee cdm walimtupa na hawakumpa hata matibabu apart from mchango mkubwa alioutoa kwenye chama
Warid Kabourou alimsaliti Bob Makani! Sijui anajisikiaje!
Swaiba, Mtanzania hana utamaduni wa eulogy!!!Wekeni eulogy yake kwa maana ya wasifu wake kamili alipokuwa hai, siyo mlolongo wa "RIP" tu.