kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,780
- 673
May the Lord rest his soul in eternal life, Ameen!
Wewe gamba huu sio muda wa kuulizia chazo kitakusaidia nini? Toa umbeya hapa
Inna Li Llahi wa Inna Illahi Rajiun.
Poleni watoto, ndugu, jamaa na marafiki. Poleni CHADEMA, Poleni CCM, Poleni Taifa.
Habari za uhakika muda mchache uliopita nimepata taarifa ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema kabla ya Mbowe...Mzee Bob Makani amefariki.
R.I.P Bob Makani
Source: Kutoka kwa ndugu zake.