Bobby Blake mcheza pono maarufu wa zamani aliyeamua kutubu

WanaJF tusijione wakosefu sana kwenye maisha yetu tunaweza kubadilika. Bobby Blake ni raia wa Marekani mwenye historia ya kutisha kwa kiasi chake. Huyu jamaa alikuwa kwenye kiwanda cha pono za jinsia moja tangu ujana wake.
Alikuwa ni mcheza pono maarufu sana Marekani kwa miongo kadhaa. Huyu jamaa ni Bisexual tangu ujana wake.

Baada ya kucheza pono kwa miaka mingi roho ya uadilifu ikamuingia akaacha ule mchezo akaoa mke na sasa ni mchungaji mzuri wa Baptist Church.

Historia yake inatufundisha jambo kuwa kumbe tunaweza kuacha mambo mabaya na tukawa mfano mzuri kwa Taifa letu.
Reference: View attachment 2677404

Kwani kucheza porn ni dhambi??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo waumini wanaweza kumsamehe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] labda alikua anakandwa, behind the camera,
Hatuwezi jua.

Woiiiiiih
 
WanaJF tusijione wakosefu sana kwenye maisha yetu tunaweza kubadilika. Bobby Blake ni raia wa Marekani mwenye historia ya kutisha kwa kiasi chake. Huyu jamaa alikuwa kwenye kiwanda cha pono za jinsia moja tangu ujana wake.
Alikuwa ni mcheza pono maarufu sana Marekani kwa miongo kadhaa. Huyu jamaa ni Bisexual tangu ujana wake.

Baada ya kucheza pono kwa miaka mingi roho ya uadilifu ikamuingia akaacha ule mchezo akaoa mke na sasa ni mchungaji mzuri wa Baptist Church.

Historia yake inatufundisha jambo kuwa kumbe tunaweza kuacha mambo mabaya na tukawa mfano mzuri kwa Taifa letu.
Reference: View attachment 2677404
Kapata njia mbadala ya kipato
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akizungumzia Sodoma na Gomora evidence anayo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] reference ni yeyee kabisaa.
 
Back
Top Bottom