Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni project NYINGINE baada ya kukamilisha ya Kwanza !!WanaJF tusijione wakosefu sana kwenye maisha yetu tunaweza kubadilika. Bobby Blake ni raia wa Marekani mwenye historia ya kutisha kwa kiasi chake. Huyu jamaa alikuwa kwenye kiwanda cha pono za jinsia moja tangu ujana wake.
Alikuwa ni mcheza pono maarufu sana Marekani kwa miongo kadhaa. Huyu jamaa ni Bisexual tangu ujana wake.
Baada ya kucheza pono kwa miaka mingi roho ya uadilifu ikamuingia akaacha ule mchezo akaoa mke na sasa ni mchungaji mzuri wa Baptist Church.
Historia yake inatufundisha jambo kuwa kumbe tunaweza kuacha mambo mabaya na tukawa mfano mzuri kwa Taifa letu.
Reference:View attachment 2677404Bobby Blake - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Hajaacha na mpenzi wake wa kiume alifariki 2021Inamana hajaacha au?
Bila shakaKwahiyo bado anazichapa na njema wengine sio
Unawezaje kutaka kuangalia porno za mashoga wakifanyiana usodoma?Weka baadhi ya kazi zake maarufu hapa.
Mapenzi ya jinsia moja wote ni mashoga, haijalishi anaigilia au anaingilia dhammbi ni ile ile.Duu kama alikuwa hivyo hapo kumbe kaokoka ukweli bila shaka hana Malinda ila angekuwa wa Kupeleka moto ningejua anaigiza
Nenda kacheki movie yake "gangsta revenge"Unawezaje kutaka kuangalia porno za mashoga wakifanyiana usodoma?
"Nigga's revenge"Nenda kacheki movie yake "gangsta revenge"
Baptist mbona wako kila kona Tz?Hiyo kanisa ina branch tanzania?