Bobby Brown amefikisha miaka 54. Kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bobby

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1675744269259.png

Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’.

Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa kike ambae sasa ni marehemu.
 
Kule wenzetu sijajua sababu inayowafanya wanaonekana wazee haraka,muangalie hata Mike Tyson ana miaka 56 lakini anaonekana mzee kama wa maiak 60 au hata Brian Mcnight ana miaka 53 lakini pia inaonekana ni mzee wa 60yrs plus...
Siyo wote mwangalie Will Smith ana miaka 54 ila bado anaonekana kijana, mcheki Martin Lawrence mshkaji wa Will Smith kwenye movie za Badboys yule ana miaka 57 ila bado anaonekana mdogo
 
View attachment 2509009
Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’.

Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa kike ambae sasa ni marehemu.
Nawakumbuka NEW EDITION, it used be my favorite group when I was a kid.
 
Kule wenzetu sijajua sababu inayowafanya wanaonekana wazee haraka,muangalie hata Mike Tyson ana miaka 56 lakini anaonekana mzee kama wa maiak 60 au hata Brian Mcnight ana miaka 53 lakini pia inaonekana ni mzee wa 60yrs plus...
Ulevi na wanawake havichanganywi lazima uonekane kama ulizaliwa wa kwanza kwanza kabisa
 
Back
Top Bottom