Bobby Brown amefikisha miaka 54. Kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bobby

Kule wenzetu sijajua sababu inayowafanya wanaonekana wazee haraka,muangalie hata Mike Tyson ana miaka 56 lakini anaonekana mzee kama wa maiak 60 au hata Brian Mcnight ana miaka 53 lakini pia inaonekana ni mzee wa 60yrs plus...
Virse versa kwa wanawake wao..muone Marry J Blige..Victoria Beckham...na wengine wengii
 
Kule wenzetu sijajua sababu inayowafanya wanaonekana wazee haraka,muangalie hata Mike Tyson ana miaka 56 lakini anaonekana mzee kama wa maiak 60 au hata Brian Mcnight ana miaka 53 lakini pia inaonekana ni mzee wa 60yrs plus...
Hapo mkuu ni kujitunza tu
nakupa list ya blacks ambao hawafananii na umri wao.
  1. Lenny Kravits (58)
  2. Montell Jordan (54)
  3. Samuel L Jackson
  4. Phareel Williams
  5. Idris Elba
 
Back
Top Bottom