Mi Corazon
Senior Member
- Oct 16, 2018
- 162
- 253
Wewe ulimpendea macho
He is cute eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulimpendea macho
"Sunday Afternoon".View attachment 2509009
Moja ya nyimbo zake zilizokonga wahenga ni ‘Two can play that game’.
Enzi hizo Janet Jackson alimpenda kweli Bobby na ni Whitney aliyebahatika kufunga ndoa na Bobby na walibarikiwa mtoto wa kike ambae sasa ni marehemu.
New Edition.Nawakumbuka NEW EDITION, it used be my favorite group when I was a kid.
Muongezee na:Hapo mkuu ni kujitunza tu
nakupa list ya blacks ambao hawafananii na umri wao.
- Lenny Kravits (58)
- Montell Jordan (54)
- Samuel L Jackson
- Phareel Williams
- Idris Elba
Man!
Kwa mawazo yangu nafikiri hayo mavitu wanayo kula yale ya mfano wa maabara, ukiangalia hata wachezaji mpira wakifikisha mika 31 kwenda mbele kidogo tu wanaanz kukatika nafikiri mavirutubisho ya kimaabara zaidi yanawatesa kuliko magimbi na uji wa ulezi tunao ula sisi, ni mawazo yangu tu.Kule wenzetu sijajua sababu inayowafanya wanaonekana wazee haraka,muangalie hata Mike Tyson ana miaka 56 lakini anaonekana mzee kama wa maiak 60 au hata Brian Mcnight ana miaka 53 lakini pia inaonekana ni mzee wa 60yrs plus...
Yule jamaa anaitwa omario sijui mario aliomba na diamond-african beauty mpaka sasa ana umri gani...Hapo mkuu ni kujitunza tu
nakupa list ya blacks ambao hawafananii na umri wao.
- Lenny Kravits (58)
- Montell Jordan (54)
- Samuel L Jackson
- Phareel Williams
- Idris Elba
hajafika miaka 40.Yule jamaa anaitwa omario sijui mario aliomba na diamond-african beauty mpaka sasa ana umri gani...
Mana nimemwona anaimba toka niko mtoto ila ukimwangalia hakui wala hazeeki.
kweli kabisa mkuu.Kwa mawazo yangu nafikiri hayo mavitu wanayo kula yale ya mfano wa maabara, ukiangalia hata wachezaji mpira wakifikisha mika 31 kwenda mbele kidogo tu wanaanz kukatika nafikiri mavirutubisho ya kimaabara zaidi yanawatesa kuliko magimbi na uji wa ulezi tunao ula sisi, ni mawazo yangu tu.
Japo mimi naamini mtu ukiwa fit yaani inshape na ukiwa na consistancy ya fitness yako you will be fine.Kwa mawazo yangu nafikiri hayo mavitu wanayo kula yale ya mfano wa maabara, ukiangalia hata wachezaji mpira wakifikisha mika 31 kwenda mbele kidogo tu wanaanz kukatika nafikiri mavirutubisho ya kimaabara zaidi yanawatesa kuliko magimbi na uji wa ulezi tunao ula sisi, ni mawazo yangu tu.
Sitaki kuamini.hajafika miaka 40.
ngoja tuone akifika 50plus atakuwaje
Mbona si hivyo...Kule wenzetu sijajua sababu inayowafanya wanaonekana wazee haraka,muangalie hata Mike Tyson ana miaka 56 lakini anaonekana mzee kama wa maiak 60 au hata Brian Mcnight ana miaka 53 lakini pia inaonekana ni mzee wa 60yrs plus...
Pombe, drugs, stress za maisha,kula ovyo, kukosa usingizi & mazoezi etc na miaka nayo 54 siyo midogo sana ukifika huko good chance utaonekana umechapa, dawa ya kuonekana kijana ni keep slim feet na pata usingizi wa kutoshaHuyu ndiye kaimba 'beautiful' na Damian Marley? mbona kazeeka ghafla
Will Smith gym inamhusu sana ndio maana anaonekana kijanaSiyo wote mwangalie Will Smith ana miaka 54 ila bado anaonekana kijana, mcheki Martin Lawrence mshkaji wa Will Smith kwenye movie za Badboys yule ana miaka 57 ila bado anaonekana mdogo
Ile ngoma ni chini ya mwaka 2010.Huyu ndiye kaimba 'beautiful' na Damian Marley? mbona kazeeka ghafla
Mtoto wa Bobby alikuwa anaitwa Kristina alifariki kifo kama cha mamake Whitney HoustonYani mtoto wa bobby brown naye alifariki au sijaielewa sentensi yako?
Kuna Madonna 64Muongezee na:
1. Angela Basett 63.
2. Harry Berry 54
3. Gabrielle Union 49
4. Brandy Norwood 43 ( Huyu kama ana 25)
5. Taye Diggs 51
6. Jammie Foxx 55
7. Michael Earl 48
8. Nia long 51