Bobby Brown Jr afariki dunia akiwa na umri wa miaka 28, amefariki miaka 5 tokea kifo cha dadake Bobby Kristina

Duh kumbe baada ya wit kufariki aliweka kitu na box ndani?
Oops! yes dear, na huko nje bado alikuwa anazaa daily na wanawake tofauti..

Bobby ni playboy

Hapa katulia kwa ajili ya utu uzima na shekeli inampiga chenga sio kama zamani

Ila ni limalaya full
 
Oops! yes dear, na huko nje bado alikuwa anazaa daily na wanawake tofauti..

Bobby ni playboy

Hapa katulia kwa ajili ya utu uzima na shekeli inampiga chenga sio kama zamani

Ila ni limalaya full
Litakuwa rijali haswa hilo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…