Bobi wine aeleza masaibu yaliyompata.Tanzania tunachakujifunza?

Hivi M7 nae huwa anasafiri au huwa anamwagiza makamu wake na waziri mkuu kumuwakilisha?
 
Kwa akili ya kawaida ni lazima waliofanya haya walikuwa na sababu ya kuhalalisha kuyafanya haya.Tumesikia kuwa gari la Rais Museveni lilipigwa mawe na hata kama Bobi wine hakupiga yeye inawezekana tuhuma zikawaangukia washabiki wake na hii ikiwa ndiyo sababu ya kulipa kisasi kwa nguvu kubwa.
Kwa Tanzania tuna ya kujifunza ingawa kwa sasa ni vigumu kwa watu kuelewa.Tuna la TL kupigwa risasi na watu wasiojulikana,tuna na maandamano ya Chadema na kufa mwanafunzi lakini mimi ninachokiona kikubwa na taarifa nyingi za watu kuteswa wakiwa katika vituo vya Polisi na wengine kupoteza maisha.
Uganda limemkuta mbunge na ameelezea kilichotokea,kwetu inawezekana yanawakuta wengi lakini fursa ya kuelezea haipo.
Kwa ujumla hakuna tofauti kwani kama ni darasa tupo ndani ya darasa moja (mwandishi wa habari aliyekula kipigo kwa kubishana na askari na mwisho akaambiwa amemkwida askari).
Ujumbe wangu-Tujiepushe kukabiliana na askari kwa gharama yoyote,tuwe wanyenyekevu hata kama unahisi unaonewa.
Wewe ni nyama kweli ,mimi ni askari njoo nikupige dole

Asalalee!
 
Bwege wewe..au na wewe ndiyo mmoja wapo ya hao chinja chinja? Badala ya kuhamaaisha watu kupigania na kulinda haki wewe unawaigopesha! " eti gari la rais lilipigwa mawe"! Stupid kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa matusi.Naamini wenye busara na hekima watajua kati yangu mimi na wewe nani bwege.Hata hivyo nakushukuru,sijatukanwa siku nyingi!!!
 
Wapi ambapo bobi wine alikabiliana na askari?? Vipi dereva wake aliyepigwa risasi akiwa kwenye gari tena kafunga vioo naye alikabiliana na askari??

Tusitafute sababu ya kuhalalisha uhuni huu wa dikteta museveni.... Kila kitu kina mwisho

Nashukuru angalau wewe hukunitukana.Nakuomba,ebu soma kwa umakini nilichoandika.
 
Kumbe sio kosa lako ,sitaki tena wewe mrahisi sana ,ungenikataa kidogo ningeongeza juhudi

Asalalee!
Haya ni maisha ya kawaida katika historia ya Mwanadamu.Siujui umri wako lakini mimi nilisoma Mnazi Moja shule ikiitwa Lumumba na ndipo yalikuwa makao Makuu ya Bakwata.Katika miaka hiyo ya sabini palikuwa na Hoteli jirani na nakumbuka kuna mtu alikuwa akitaniwa kuwa ni faruku lakini kwa dunia ya leo mnawaita mashoga.Hivyo kunitukana tusi hilo si ajabu sana kwani nimewaona weye tabia hizo miaka iliyopita na wataendelea kuwepo.Karibu tena.
 
Kumbe umesoma Lumumba ? Ndio maana mawazo ya Kilumumba hayo mwanao akibakwa kisa kabakwa na Baunsa utakaa kimya kwa sababu unaogopa mangumi ?
Halafu unaitwa baba kabisa unakenua ?

Nenda zako huko sitaki laana na Wazee mimi

Asalalee!
 
Kwa akili ya kawaida ni lazima waliofanya haya walikuwa na sababu ya kuhalalisha kuyafanya haya.Tumesikia kuwa gari la Rais Museveni lilipigwa mawe na hata kama Bobi wine hakupiga yeye inawezekana tuhuma zikawaangukia washabiki wake na hii ikiwa ndiyo sababu ya kulipa kisasi kwa nguvu kubwa.
Kwa Tanzania tuna ya kujifunza ingawa kwa sasa ni vigumu kwa watu kuelewa.Tuna la TL kupigwa risasi na watu wasiojulikana,tuna na maandamano ya Chadema na kufa mwanafunzi lakini mimi ninachokiona kikubwa na taarifa nyingi za watu kuteswa wakiwa katika vituo vya Polisi na wengine kupoteza maisha.
Uganda limemkuta mbunge na ameelezea kilichotokea,kwetu inawezekana yanawakuta wengi lakini fursa ya kuelezea haipo.
Kwa ujumla hakuna tofauti kwani kama ni darasa tupo ndani ya darasa moja (mwandishi wa habari aliyekula kipigo kwa kubishana na askari na mwisho akaambiwa amemkwida askari).
Ujumbe wangu-Tujiepushe kukabiliana na askari kwa gharama yoyote,tuwe wanyenyekevu hata kama unahisi unaonewa.
wat the hell yani unaona unaonewa kwa makusudi ukae kimya how?
 
Can't you even read between the lines?
Haya, onewa,kunja ngumi na pigana na askari (hawa wa kwetu) kisha utakuja kunisimulia hapa.Naamini hutapata nafasi ya kusikilizwa kama Bobi wine!!
Watu wanachukuliwa wakia hai na wafia vituo vya Polisi na wewe unataka kushindana as an indivudual,JARIBU!!
 
Kumbe umesoma Lumumba ? Ndio maana mawazo ya Kilumumba hayo mwanao akibakwa kisa kabakwa na Baunsa utakaa kimya kwa sababu unaogopa mangumi ?
Halafu unaitwa baba kabisa unakenua ?

Nenda zako huko sitaki laana na Wazee mimi

Asalalee!
Nimekujulisha kuwa mimi ni mtoto wa mjini na matusi nayajua.Nilitoka Lumumba nikaenda Tambaza wakati Tambaza ikiwa Tambaza kweli.
 
Nimezaliwa Ocean Rd hapo nikakulia Kariakoo sasa sijui unataka kuniambia nini

Asalalee!
 
Back
Top Bottom