Bobi wine aeleza masaibu yaliyompata.Tanzania tunachakujifunza?

Bobi wine aeleza masaibu yaliyompata.Tanzania tunachakujifunza?

Hakuna ukweli kwenye hili... Mbona hukutowa machizu baadaya TL kula risasi za kutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Sihitaji kuaminiwa nawe. Au ndo hulka yako kuchallenge kila uonacho mbele yako???. Unajua nilikuwa wapi na katika mazingira gani wakati TL yanamkuta yaliyomkuta??
 
Kuna tofauti kati ya kamanda wa jeshi na kamanda wa marastafarian. Kama sio bangi una soo utakimbiliaje hotelini? Angesepa street usiku uleule angetokomea zake
Risasi live mbele yako, at a hotels lobby for that, voluntary reaction ni kurudi nyuma. Huko ndo ujue la kufanya .... ukiwa cool options ni nyingi. If you trained solutions might be many. If you are not and scared, options are limited.
 
Duh what an agony event.....the fact is some ppl must sacriface for others to live or to get freedom .....ilo ndotunalo kosa hapa Tz wabunge wetu wa upinzani hawako tayari kufa kwa ajiri ya uhuru wa wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yetu Tanzania ni nchi ya amani!
Wapinzani hawana cha kupinga hata kidogo ndio maana wanarudi nyumbani kila iitwapo leo!
Wapinzani wanauwana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya uchu wa madaraka katika chama chao!
Wachumia tumbo ndio waliojaa upinzani uchwara!
Nadhani hata wenyewe wanaliona hili Maana ni too obvious walahi!
That’s all
 
Back
Top Bottom