MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
kama unahoji unahaki yakumuulizA kwani ubAYACan't you even read between the lines?
Haya, onewa,kunja ngumi na pigana na askari (hawa wa kwetu) kisha utakuja kunisimulia hapa.Naamini hutapata nafasi ya kusikilizwa kama Bobi wine!!
Watu wanachukuliwa wakia hai na wafia vituo vya Polisi na wewe unataka kushindana as an indivudual,JARIBU!!
Hata huyu wetu
Baada ya mkutano asingerudi hotelini angeondoka zake tena speed mbaya. Ila simlaumu sana alijua kampeni zimeisha maisha yanasonga kumbe sioKuna tofauti kati ya kamanda wa jeshi na kamanda wa marastafarian. Kama sio bangi una soo utakimbiliaje hotelini? Angesepa street usiku uleule angetokomea zake
Daah inauma sana! Jiwe angekuwa anajua kingereza angesoma na pengine angebadilika
Mateso kama ya Mayahudi. halafu watesi wana imani zao!Am speechless. Nimejikuta natoa machozi kwa namna alivyokuwa anateswa
Hapa ndio napompendea mtatiro alikuwa bingwa wa kulala mbeleCan't you even read between the lines?
Haya, onewa,kunja ngumi na pigana na askari (hawa wa kwetu) kisha utakuja kunisimulia hapa.Naamini hutapata nafasi ya kusikilizwa kama Bobi wine!!
Watu wanachukuliwa wakia hai na wafia vituo vya Polisi na wewe unataka kushindana as an indivudual,JARIBU!!
Hapa ndio napompendea mtatiro alikuwa bingwa wa kulala mbeleCan't you even read between the lines?
Haya, onewa,kunja ngumi na pigana na askari (hawa wa kwetu) kisha utakuja kunisimulia hapa.Naamini hutapata nafasi ya kusikilizwa kama Bobi wine!!
Watu wanachukuliwa wakia hai na wafia vituo vya Polisi na wewe unataka kushindana as an indivudual,JARIBU!!
Kwani boby alipigwa jiti? Ukiliwa kiboga lazima uwe mpole.roma na mkatoliki na dr. olimboka mpaka leo wameamua kutunza siri.
wajifunze kwa wenzao. bobi wine hajaficha hata kimoja alichofanyiwa na watesi wake.
si unaona kaandika kabisa jamaa walimvuta pumbu zake...au kingereza hakipandi?K
Kwani boby alipigwa jiti? Ukiliwa kiboga lazima uwe mpole.
Kila kukicha wanahamia kwa mtesi wao, haya aibu hawana hatuna wapinzani tuna waganga njaa!Duh what an agony event.....the fact is some ppl must sacriface for others to live or to get freedom .....ilo ndotunalo kosa hapa Tz wabunge wetu wa upinzani hawako tayari kufa kwa ajiri ya uhuru wa wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
NOT EASY TO LIBERATE SOCIETY WITHOUT TORCHER, TEARS AND BLOOD. Kuna watu lazima wajitoe kwa ajili ya jamii nzimaKwa akili ya kawaida ni lazima waliofanya haya walikuwa na sababu ya kuhalalisha kuyafanya haya.Tumesikia kuwa gari la Rais Museveni lilipigwa mawe na hata kama Bobi wine hakupiga yeye inawezekana tuhuma zikawaangukia washabiki wake na hii ikiwa ndiyo sababu ya kulipa kisasi kwa nguvu kubwa.
Kwa Tanzania tuna ya kujifunza ingawa kwa sasa ni vigumu kwa watu kuelewa.Tuna la TL kupigwa risasi na watu wasiojulikana,tuna na maandamano ya Chadema na kufa mwanafunzi lakini mimi ninachokiona kikubwa na taarifa nyingi za watu kuteswa wakiwa katika vituo vya Polisi na wengine kupoteza maisha.
Uganda limemkuta mbunge na ameelezea kilichotokea,kwetu inawezekana yanawakuta wengi lakini fursa ya kuelezea haipo.
Kwa ujumla hakuna tofauti kwani kama ni darasa tupo ndani ya darasa moja (mwandishi wa habari aliyekula kipigo kwa kubishana na askari na mwisho akaambiwa amemkwida askari).
Ujumbe wangu-Tujiepushe kukabiliana na askari kwa gharama yoyote,tuwe wanyenyekevu hata kama unahisi unaonewa.