Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
1725381552347.png

Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.

Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza kuwa polisi walimpiga msanii huyo risasi ya mguu.

Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na polisi kuhusu tukio hilo.

photo_2024-09-03_20-10-54 (2).jpg
photo_2024-09-03_20-10-54.jpg

---
Ugandan opposition figure Bobi Wine has been shot in the leg in a confrontation with police just outside the capital Kampala, his opposition group said.

Photos posted online showed Mr Wine surrounded by followers who shouted that he had been shot in the leg before some supported him into a waiting car.
His party, the National Unity Platform, holds the most seats of any opposition group in the national assembly.

He was shot in the leg and seriously injured in Bulindo, Wakiso District

National Unity Platform
The party said on X that Ugandan security operatives “have made an attempt on the life of” Mr Wine, whose real name is Kyagulanyi Ssentamu.

“He was shot in the leg and seriously injured in Bulindo, Wakiso District,” it said, referring to a town on the outskirts of the Ugandan capital.

Street confrontations between Mr Wine and the police have frequently descended into violence, but this is the first time he has been wounded in such a way.

There was no immediate comment from the police and other authorities.

Mr Wine ran for president in 2021, losing to President Yoweri Museveni in an election he claimed was rigged against him.

PIA SOMA
- Uganda: Polisi wapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya Bobi Wine kwa madai ya kumtukana Rais Museveni

- Mikutano ya Hadhara ya Bobi Wine yasitishwa baada ya kudaiwa kusababisha Vifo
 
Ameuza ardhi (mali ya CCM), takribani ekari 200 kwa manufaa yake binafsi. Ushahidi uliotolewa na watu 56 pamoja na miamala ya mauzo ya ekari hizo kwenye akaunti za diwani huyo ilitosha kumtia hatiani.

Baada ya tamko la kumtumbua, takukuru imeanza kumtia tumbo joto na huenda akafikishwa mahakamani siku za hivi karibuni.

Soma Pia: CCM yawavua Uongozi Wanachama wawili kutokana na kukiuka maadili ya uongozi
 
Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.

Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza kuwa polisi walimpiga msanii huyo risasi ya mguu.

Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na polisi kuhusu tukio hilo.

PIA SOMA
- Uganda: Polisi wapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya Bobi Wine kwa madai ya kumtukana Rais Museveni
Huyu ndo Raisi wa uganda ajae labda auliwe tu na dictetor m7.
 
Uganda: Mwanasiasa huyo mashuhuri wa upinzani na mkosoaji wa serikali ya rais Yowei Museveni, ameripotiwa kukumbwa na mkasa huo katika eneo la Bulindo nje kidogo ya mji wa Kampala.

Video zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinamuonesha Bobi Wine akiwa na tungu la risasi katika mguu wake wa kushoto. Watu wa karibu na mwasiasa huyo wanasema amekimbizwa hospitali kwa matibabu.

CHANZO.Dw Swahili
 
Msanii na kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Boby Wine, apigwa risasi ya miguu akiwa katika hali ya vuta n'kuvute na polisi katika kijiji cha Bulindo nchini Uganda. Hivi sasa kiongozi huyo amekimbizwa hospitali kwa ajili ya matibabu.

Mwendesha ukarasa wa mtandao wa 'X' wa Boby Wine ametangaza kuwa polisi walimpiga msanii huyo risasi ya mguu.

Mpaka sasa hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na polisi kuhusu tukio hilo.
---
Ugandan opposition figure Bobi Wine has been shot in the leg in a confrontation with police just outside the capital Kampala, his opposition group said.

Photos posted online showed Mr Wine surrounded by followers who shouted that he had been shot in the leg before some supported him into a waiting car.
His party, the National Unity Platform, holds the most seats of any opposition group in the national assembly.

National Unity Platform
The party said on X that Ugandan security operatives “have made an attempt on the life of” Mr Wine, whose real name is Kyagulanyi Ssentamu.

“He was shot in the leg and seriously injured in Bulindo, Wakiso District,” it said, referring to a town on the outskirts of the Ugandan capital.

Street confrontations between Mr Wine and the police have frequently descended into violence, but this is the first time he has been wounded in such a way.

There was no immediate comment from the police and other authorities.

Mr Wine ran for president in 2021, losing to President Yoweri Museveni in an election he claimed was rigged against him.

PIA SOMA
- Uganda: Polisi wapiga marufuku mikutano ya kisiasa ya Bobi Wine kwa madai ya kumtukana Rais Museveni
Unategemea nini kwa nchi ya "military police" ?!!!
 
Video clip is here
Uganda: Mwanasiasa huyo mashuhuri wa upinzani na mkosoaji wa serikali ya rais Yowei Museveni, ameripotiwa kukumbwa na mkasa huo katika eneo la Bulindo nje kidogo ya mji wa Kampala.

Video zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinamuonesha Bobi Wine akiwa na tungu la risasi katika mguu wake wa kushoto. Watu wa karibu na mwasiasa huyo wanasema amekimbizwa hospitali kwa matibabu.

CHANZO.Dw Swahili
Aliye mshioot huyu hapa
20240903_200307.jpg
 
Viongozi wa Afrika baada ya kupata uhuru wamekuwa wakoloni wapya?
 
Serikali ya Dikteta Yoweri Museveni imetekeleza Shambulio la risasi dhidi ya Robert Kyagulani
Kama unaweza Mtoa mada ungejaribu kuongeza nyama kwenye hiyo taarifa yako ikiwemo kugusia hali yake kama amejeruhiwa kama ilivyokuwa Tundu Lissu ama yeye amepoteza maisha kabisa

Pole sana kwake na Wafuasi wake

Kufanya Siasa za Upinzani huku Afrika ni hatari kuliko kutembea pori lenye Simba wakali 🙌
 
Back
Top Bottom