Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

Bobi Wine apigwa risasi ya mguu katika vuta n'kuvute na polisi

A desire for perdonal gain haijawahi kuacha mtu salama. Unataka ufaidike wewe tu lakini mambo kama hayo yatakuwepo tu
 
Unajua muda mwingine kuwapigania waafrika ni ujinga.

Waafrika ni kuwaacha na mashida yao.
 
M7 kashaapa kutowapa anaowaita wahuni madaraka kwa vyobyote vile.
 
Hatimae kapata alichokuwa anakitafuta,walimpa kifinyo wakat fulan lakin hakusikia
 
Museveni tulimsaidia kumtoa amini naona kagomea kabisa gemu bado mbichi waganda wamchoka ndo hawana jinsi
 
Kuleta maendeleo ya maana Kwa wanachi hakuna ila kuwadungua Kwa risasi wepesi hatari.😭😭😭😭
 
Hata Marekani, cha kwanza wanachotii ni maelekezo ya Polisi, hata kama huridhiki nayo. Kujidanganya kupambana nao kama chadema wanavyojazana upepo, hakuna dola itakuacha salama.

Cc: Mwembechai Saga
Usifananishe polis ya marekani na hizi zq nchi yetu. ni mbingu na ardhi, kule hawa wa treat wanasiasa kama takataka
 
Hakuna risasi hapo, Risasi ingesambaratisha mguu. Risasi inakotokea ni jerahakubwa sana kuliko linapoingia
 
Back
Top Bottom