Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Kwa akili hizo CCM Ina haki ya kutawala mileleHatimae kapata alichokuwa anakitafuta,walimpa kifinyo wakat fulan lakin hakusikia
WataumiaKizazi Cha gen z kinapaswa kuwaadabisha Hawa madingi
Zelensky unamuona ana akili timamu?Hii zana inapaswa ife kwa sababu zelensky alikuwa mchekeshaji
Unajua kwenye nchi zetu hz hutakiw kuwa msumbufu sana kwa watawala maana kukupoteza kwao sio shida,Kwa akili hizo CCM Ina haki ya kutawala milele
Usifananishe polis ya marekani na hizi zq nchi yetu. ni mbingu na ardhi, kule hawa wa treat wanasiasa kama takatakaHata Marekani, cha kwanza wanachotii ni maelekezo ya Polisi, hata kama huridhiki nayo. Kujidanganya kupambana nao kama chadema wanavyojazana upepo, hakuna dola itakuacha salama.
Cc: Mwembechai Saga
Mtoto akililia wembe mpeππHatimae kapata alichokuwa anakitafuta,walimpa kifinyo wakat fulan lakin hakusikia