The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Nawasalimu kwa jina la JMT.
Bobi Wine ambae ni Kiongozi wa Upinza huko Uganda amewatahadharisha Wakenya kuwa Makini na genge la Ruto kupitia wabunge wa chama chake Cha UDA wanaotaka Bunge libadili Katiba ya Nchi hiyo na Kuondoa Ukomo wa Urais wa vipindi vya Miaka 5 na kuweka Ukomo wa umri wa Miaka 75 ili kumuwezesha Ruto kuongoza kwa Miaka 20.
Bobi amesema huwa inaanza hivi hivi Kama utani ila mwisho wa siku huwa kweli.
Bila Shaka Kuna mtu kanogewa na madaraka huko ndio maana kelele zimeanza mapema. Ikumbukwe Mwendakuzimu kupitia wapiga debe wake nao walishaanza mchakato Kama huu wakisema kwamba eti hata Kama hataki lazima alazimishwe.
Nukuu ya Bobi Wine hii hapa kwa mujibu wa gazeti la Nation👇