Bobi Wine kwa Wakenya: Defend your Constitution before it's too week to defend you

Bobi Wine kwa Wakenya: Defend your Constitution before it's too week to defend you

The Sunk Cost Fallacy 2

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
9,436
Reaction score
10,944
Nawasalimu kwa jina la JMT.

Bobi Wine ambae ni Kiongozi wa Upinza huko Uganda amewatahadharisha Wakenya kuwa Makini na genge la Ruto kupitia wabunge wa chama chake Cha UDA wanaotaka Bunge libadili Katiba ya Nchi hiyo na Kuondoa Ukomo wa Urais wa vipindi vya Miaka 5 na kuweka Ukomo wa umri wa Miaka 75 ili kumuwezesha Ruto kuongoza kwa Miaka 20.

Bobi amesema huwa inaanza hivi hivi Kama utani ila mwisho wa siku huwa kweli.

Bila Shaka Kuna mtu kanogewa na madaraka huko ndio maana kelele zimeanza mapema. Ikumbukwe Mwendakuzimu kupitia wapiga debe wake nao walishaanza mchakato Kama huu wakisema kwamba eti hata Kama hataki lazima alazimishwe.

Nukuu ya Bobi Wine hii hapa kwa mujibu wa gazeti la Nation👇

Screenshot_20221108-232141.png
Screenshot_20221108-232059.png
 
Hii imekuja baada ya UDA ya Ruto kunogewa na madaraka 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221109-122744.png
    Screenshot_20221109-122744.png
    204.1 KB · Views: 9
Script ni ile ile kwanza kujifanya mtu wa Mungu sana, rafiki wa masikini (wanyonge/hustlers), then mtu mmoja anaanza penyeza agenda ya kubadili katiba.
Watu wa hivi huwa wanakamata wajinga,wakishawaridhisha vitu vidogo dogo Tena vya kijinga jamaa wanaunga mkono.
 
Mimi kuna muda nikiwa peke yangu nikamkumbuka magufuri, huwa nashtukia tu mdomo wangu unatamka neno "Alhamdulillah" sio siri magufuri alituchukia hata sisi watoto wa makabwera tuliosoma kwa taabu sana tukiamini kuwa ipo siku elimu zetu zitakuja kutukomboa sisi pamoja na familia zetu masikini, hoheae, na pangu pakavu tia mchuzi ALHAMDULILLAH.
 
Back
Top Bottom