Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Miezi, kwanini wauliza hivi mpwa?Umewahi kuwa na mgonjwa ambaye ulimuuguza hata mwezi mmoja tu hospital ndugu Pilato?
Hizi takataka zinatakiwa zipigwe marufuku. Na zile takataka nyingine zinaitwa bajaj.Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama.
Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda.
Hawana leseni, wanakunywa visungura, wanasababisha ulemavu na mayatima mbali na wajane!
View attachment 3704088View attachment 3704089
Kama una gari mjini haijachubuliwa na Baja basi wewe umeweka ngao.Hizi takataka zinatakiwa zipigwe marufuku. Na zile takataka nyingine zinaitwa bajaj.
Dr. Charles Sokile ni mtu mwema sana.Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama.
Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda.
Hawana leseni, wanakunywa visungura, wanasababisha ulemavu na mayatima mbali na wajane!
View attachment 3704088View attachment 3704089
Anakufa kwa upumbavu tu wa mpuuzi mmoja anaeitwa afisa usafirishaji !@#$%^&&*Dr. Charles Sokile ni mtu mwema sana.
Uchungaji ni kazi yake tu nyingine...
Kwenye upande wa Development he played a huge role...
Taifa limepoteza, OPM wamepoteza.
Lala salama Dr.
Alafu utatuajiri kwenye biashara zako mkuu?? Au ndo tukianza kuwapiga kabari za mbao mnaanza kuleta nyuzi kuwa vijana hawafanyi kaziHizi takataka zinatakiwa zipigwe marufuku. Na zile takataka nyingine zinaitwa bajaj.
Ni balaa sana.Anakufa kwa upumbavu tu wa mpuuzi mmoja anaeitwa afisa usafirishaji !@#$%^&&*
Hivi kwani kabla ya bodaboda tuliishije? Au kuna ongezeko la watu kiasi inalazimika kutumia bodaboda?Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama.
Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda.
Hawana leseni, wanakunywa visungura, wanasababisha ulemavu na mayatima mbali na wajane!
View attachment 3704088View attachment 3704089
Boda Boda zilikuwa mbadala wa foleni za Dar,zilirahisisha usafiri.Hivi kwani kabla ya bodaboda tuliishije? Au kuna ongezeko la watu kiasi inalazimika kutumia bodaboda?
Mungu aepushie mbali roho za ajali IJN
Watu wote ni sawa, lakini , boda anawahi buku kwa uhai wa mtu ambaye leo hii mamilioni wanamlilia.Ndani ya siku 3 tu, Doctor Charles Sokile, ambaye ni mchungaji makanisa ya TAG-amegongwa na bodaboda akiwa anatoka kwenye maonyesho ya Tonny Kapole kijitonyama.
Huyu mwanafunzi wa TIA amegongwa akiwa anakwenda chuo, /Kwa siku si chini ya maiti 5 zinazoingizwa mochwari kwa ajali za Boda boda.
Hawana leseni, wanakunywa visungura, wanasababisha ulemavu na mayatima mbali na wajane!
View attachment 3704088View attachment 3704089
At what cost?Boda Boda zilikuwa mbadala wa foleni za Dar,zilirahisisha usafiri.