Sahihi mkuuBoda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu. vijana wanaendesha bila leseni. Boda bora zinatakiwa ziruhusiwe vijijini tu na kwa mijini ziruhusiwe tu kwa safari binafsi na kuwe na sehemu maalumu kwa maiskeli na pikipiki kama nchi nyingine. Hatuwezi kuendeleza vitu kisiasa tu vijana watafutiwe ajira na tuweke katiba bora ilete uwekezaji.
Upo sahihi kabisa, Ni Umasikini na Kero mijiniBoda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu. vijana wanaendesha bila leseni. Boda bora zinatakiwa ziruhusiwe vijijini tu na kwa mijini ziruhusiwe tu kwa safari binafsi na kuwe na sehemu maalumu kwa maiskeli na pikipiki kama nchi nyingine. Hatuwezi kuendeleza vitu kisiasa tu vijana watafutiwe ajira na tuweke katiba bora ilete uwekezaji.
Tatizo ni taifa kuridhika na kazi ya aina hiyo kama suluhisho la ajira kwa mamilioni ya vijana ili hali ni kero tu na ni kazi yenye risk sana kwa vijana.Wape ajira uzionazo zinafaa hawawezi kataa kazi mkuu
Nakuelewa sana mkuuTatizo ni taifa kuridhika na kazi ya aina hiyo kama suluhisho la ajira kwa mamilioni ya vijana ili hali ni kero tu na ni kazi yenye risk sana kwa vijana.
Nakuelewa sana mkuuTatizo ni taifa kuridhika na kazi ya aina hiyo kama suluhisho la ajira kwa mamilioni ya vijana ili hali ni kero tu na ni kazi yenye risk sana kwa vijana.
Ni tatizo kubwa sana,Mtembea kwa miguu siku hizi kuvuka barabara ni kama unabet
Boda zinatokea popote usipotarajia
80s to 90s ulikuwa unaweza kuvaa walkman unavuka barabara
Thubutu siku hizi unazikwa kesho tu
We umeanza kuona nuruWewe ukiona tu nchi inajaza wahindi tu jua kwisha
Wewe ukiona tu nchi inajaza wahindi tu jua kwisha
Umenikumbusha mbali sana kwenye hiyo kitu walkman, najua watoto wa 2000 umewaacha na hawataelewa ndo kitu gani hiyo!Mtembea kwa miguu siku hizi kuvuka barabara ni kama unabet
Boda zinatokea popote usipotarajia
80s to 90s ulikuwa unaweza kuvaa walkman unavuka barabara
Thubutu siku hizi unazikwa kesho tu