SankaraBoukaka
JF-Expert Member
- Jul 2, 2019
- 3,577
- 5,664
sasa ulichokieleza hapo si ndo "umaskini" wenyewe.. kwanini mjamzito apelekwe hospitali kwa boda?Hizi boda huko vijijini wanaheshimika todauti na watu mjini mnadharau
Ndio zinazopeleka wamama wajawazito na wagonjwa hospital
Boda sio umasikini. Sema akili za baadhi ya boda ni za kimaskini