MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hiyo sheria ya kipumbavu peleka kwenu Burundi.Sheria itungwe boda iwe ni kubeba mizigo na kufanya delivery tu.
Hiyo sheria ya kipumbavu peleka kwenu Burundi.Sheria itungwe boda iwe ni kubeba mizigo na kufanya delivery tu.
Hivyo viwanda ulivijenga wapi?Nilikwenda South Africa hakuna Huo Upumbavu.
Boda boda ni Total Fairule.
Imagine ile Nguvu ingeenda viwandani.
Na zinawakata vibaya vibaya!Unajua byke zimetoa ajira kwa vijana wangapi?
Wewe na mama yako wote mnaliwa viboga.Mleta mada ulishawahi fika China? huko hadi baiskeli zinatumika kama usafiri. Ninakuunga mkono kwamba bodaboda wajitahidi kufuata sheria za barabarani.
Unatafuta Mume?.. nimeoa.Acha upumbavu. Hamia Burundi ukatoe haya maoni yako ya kishenzi.
Keyboard warriorUnatafuta Mume?.. nimeoa.
Keyboard warriorWewe na mama yako wote mnaliwa viboga.
Tena wakifika kwenye zebra wanaongeza speedMtembea kwa miguu siku hizi kuvuka barabara ni kama unabet
Boda zinatokea popote usipotarajia
80s to 90s ulikuwa unaweza kuvaa walkman unavuka barabara
Thubutu siku hizi unazikwa kesho tu
Au unatak uwe mke wa pili? Sema..Keyboard warrior
Nitumie namba yako PM tuonane ili nione kama una ujasiri wa kunitukana uso kwa uso.Au unatak uwe mke wa pili? Sema..
KabisaKama UK
hoja yangu ni msumari wa moto unaopenya kwenye fuvuKuongea ni rahisi sana. Hizo kazi za uzalishaji umetengeneza ngapi kwa uwezo wako?
+ Wachina na wasomali.Wewe ukiona tu nchi inajaza wahindi tu jua kwisha
Ngoja tumuulize Kihongosi na Madelu wana maoni gani!Boda boda sio sifa ni uchafu na umasikini mkubwa. Hatuwezi kama nchi kutegemea usafiri kwa madereva holela wa pikipiki ambao hawafuati sheria, pikipiki hazijatengenezwa kwa lengo la kubebea watu.
Vijana wanaendesha bila leseni. Boda bora zinatakiwa ziruhusiwe vijijini tu na kwa mijini ziruhusiwe tu kwa safari binafsi na kuwe na sehemu maalumu kwa maiskeli na pikipiki kama nchi nyingine. Hatuwezi kuendeleza vitu kisiasa tu vijana watafutiwe ajira na tuweke katiba bora ilete uwekezaji.