SankaraBoukaka JF-Expert Member Joined Jul 2, 2019 Posts 3,577 Reaction score 5,664 Jun 23, 2026 #61 Gily Gru said: Hizi boda huko vijijini wanaheshimika todauti na watu mjini mnadharau Ndio zinazopeleka wamama wajawazito na wagonjwa hospital Boda sio umasikini. Sema akili za baadhi ya boda ni za kimaskini Click to expand... sasa ulichokieleza hapo si ndo "umaskini" wenyewe.. kwanini mjamzito apelekwe hospitali kwa boda?
Gily Gru said: Hizi boda huko vijijini wanaheshimika todauti na watu mjini mnadharau Ndio zinazopeleka wamama wajawazito na wagonjwa hospital Boda sio umasikini. Sema akili za baadhi ya boda ni za kimaskini Click to expand... sasa ulichokieleza hapo si ndo "umaskini" wenyewe.. kwanini mjamzito apelekwe hospitali kwa boda?
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,748 Reaction score 14,962 Jun 23, 2026 #62 MamaSamia2025 said: Nitumie namba yako PM tuonane ili nione kama una ujasiri wa kunitukana uso kwa uso. Click to expand... Nimeoa.. mbona unalazimisha? Nina Mke.
MamaSamia2025 said: Nitumie namba yako PM tuonane ili nione kama una ujasiri wa kunitukana uso kwa uso. Click to expand... Nimeoa.. mbona unalazimisha? Nina Mke.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jun 23, 2026 #63 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
Gily Gru JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 9,497 Reaction score 26,062 Jun 23, 2026 #64 SankaraBoukaka said: sasa ulichokieleza hapo si ndo "umaskini" wenyewe.. kwanini mjamzito apelekwe hospitali kwa boda? Click to expand... Kuna sehemu gari hazifiki. Ushauri wako bodaboda zote zitolewe mjini, kwamba hakuna wanufaika au kwa sababu hunufaiki wewe? Sijakuelewa
SankaraBoukaka said: sasa ulichokieleza hapo si ndo "umaskini" wenyewe.. kwanini mjamzito apelekwe hospitali kwa boda? Click to expand... Kuna sehemu gari hazifiki. Ushauri wako bodaboda zote zitolewe mjini, kwamba hakuna wanufaika au kwa sababu hunufaiki wewe? Sijakuelewa