Boda boda wanajua kuaibisha sana

Boda boda wanajua kuaibisha sana

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Hivi kwanini boda boda akimchukua mtu kumpeleka mahali lazima amshushe mlangoni kabisa kila mtu ajue mhusika kaenda nayo halafu sauti inakua kuubwa mziki kila mtu anasikia.

Mtu anaenda kempiski unamshushia pale reception nomaa sana.

Mjiongeze jamani.
 
Wewe abiria ndo una tatizo. Umemwambia akushushe wapi akakataa?
 
Sasa unadhani hata akikushusha mbali watu hawatokuona ukiingia getini???

Ila sijui kwanini saa ya kuingia unakuwa na ujasiri hata wa kushikana mikono ila kutoka sasa unajawa na aibu na hofu mnapishana kutoka kama mna ugomvii😀😀😀😀 na usiombe iwe karbu na makazi ya watu, kuna mimama imekaa vibarazani.

Mbaya zaidi ukiwahi kutoka wanajua kabisa huyu kimoko chali😂
 
Hivi kwanini boda boda akimchukua mtu kumpeleka mahali lazima amshushe mlangoni kabisa kila mtu ajue mhusika kaenda nayo halafu sauti inakua kuubwa mziki kila mtu anasikia.

Mtu anaenda kempiski unamshushia pale reception nomaa sana.

Mjiongeze jamani.
kumbe ndo wewe nilikupeleka kuzini kwenye ile lodge
 
Ttt
Wewe abiria ndo una tatizo. Umemwambia akushushe wapi akakataa?
Ukisikia kuharibiana ndio huku.

Sasa unamshushia mtu pale serena reception. Kabisa si ungemuacha mbali mbali hata kidogo atembee.
 
Hivi kwanini boda boda akimchukua mtu kumpeleka mahali lazima amshushe mlangoni kabisa kila mtu ajue mhusika kaenda nayo halafu sauti inakua kuubwa mziki kila mtu anasikia.

Mtu anaenda kempiski unamshushia pale reception nomaa sana.

Mjiongeze jamani.
Si unamwambia Sehemu ya kukushushia?!!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mtu anayeishi maisha ya kuogopa au kuangalia watu watamuonaje au watamchukuliaje kama mleta mada,ni mtu anayeishi maisha ya kujitesa sana,

Live your life,be yourself,usiangalie watu wanaokuhukumu,hayo ni maisha yako na sio maisha yao,our life time is limited,be free to live your life.
 
Ndio kumshushia mtu pale reception kempiski kisa nini??
 
Back
Top Bottom