bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ngoja mvua ziishe bangi zimeloa maji kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja mvua ziishe bangi zimeloa maji kwanza
Jingazz ! Huyo Malaika ana Kosa Gani ???...Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamishna msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amesema kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Januari 23, 2024 muda wa saa 12:00 jioni mtaa wa Murieti Tarafa ya Elerai katika manisipaa ya jiji la Arusha.
Kamanda Masejo amebainisha kuwa mtuhumiwa huyo alimkata shingo mtoto huyo na kitu chenye ncha kali na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Aidha ameeleza kuwa baada ya taarifa hizo kufika Jeshi la Polisi mara moja Jeshi hilo lilianza uchunguzi na kumtafuta mthumiwa huyo kwa kushirikiana na wananchi ambapo walifanikiwa kumkamata muda mchache baadae.
ACP Masejo amesema baada ya uchunguzi Jalada litapelekwa ofisi ya taifa ya mashtaka kwa hatua zaidi za kisheria.
Credit-CloudsTv
Wavaa kobazi na Wagalatia wadai wapo Watu wengine wanaotumia majina tu ili kupata kazi au kurudia shule baada ya kufeli shule.Mbona hamjatuambia dini ya huyo aliyefanya ukatili huo?
Si kunakuwa na tabia ya kunasibisha jinai na dini?Mbona leo kimya?
Kwani Njombe tayari?Geita lini ?
Kwami Njombe tayari?
Njombe wanazingua sana.. Ile ya mume kumkata kata mke na kumuweka kwenye mfuko na kumtupa mtoni.. Nilijuta kwann nilisoma..Muda wowote kuanzia Sasa GEITA na njombe wanajibu
Statistics hii habari ilinikata sana motoPolisi Njombe: Mwanaume aliyeua Mkewe na Kumkata Vipande Vipande Alinyimwa Unyumba
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Hassan Banga amesema Tumaini Luvanda (35) Mkazi wa Dombwela Wilaya ya Makete Mkoani Njombe aliyeuawa kwa kukatwakatwa na panga vipande na kisha kutenganishwa kichwa na kiwiliwili, na baadhi ya viungo vyake kutupwa Mtoni katika eneo la Kabinda Wilayani...www.jamiiforums.com
hatari sana aisee,Statistics hii habari ilinikata sana moto
Siku naiona hii story nilisikitika sana yaani binadamu sasa ni vichaa wa akili kabisaJeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha.
Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kamishna msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amesema kuwa mtuhumiwa huyo alitenda kosa hilo Januari 23, 2024 muda wa saa 12:00 jioni mtaa wa Murieti Tarafa ya Elerai katika manisipaa ya jiji la Arusha.
Kamanda Masejo amebainisha kuwa mtuhumiwa huyo alimkata shingo mtoto huyo na kitu chenye ncha kali na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Aidha ameeleza kuwa baada ya taarifa hizo kufika Jeshi la Polisi mara moja Jeshi hilo lilianza uchunguzi na kumtafuta mthumiwa huyo kwa kushirikiana na wananchi ambapo walifanikiwa kumkamata muda mchache baadae.
ACP Masejo amesema baada ya uchunguzi Jalada litapelekwa ofisi ya taifa ya mashtaka kwa hatua zaidi za kisheria.
Credit-CloudsTv
Mwana kajiridhisha kumbe nina kazi ya kule mke anaebeba na kuzaa watoto wa wanaume wenzangu kisha ananiletea nihudumie.Na aliezaa huyo mtoto alieuwawa ana mimba kubwa ya mwanaume mwingine hivo inaonesha Ni maswala ya wivu wa kimapenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawajahi kupitwaa.Muda wowote kuanzia Sasa GEITA na njombe wanajibu
Kamanda Masejo amebainisha kuwa mtuhumiwa huyo alimkata shingo mtoto huyo na kitu chenye ncha kali na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.[emoji3064][emoji848]Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha.