Bodaboda amuua mtoto wake kwa kumkata shingo

Jingazz ! Huyo Malaika ana Kosa Gani ???...
Ukute kaamua TU Kwa sababu Mtu amemuambia Sio Mtoto wake !!!
Sasa Kwa sababu Sio Mtoto wako ndio Unamuua ??? [emoji35][emoji35]
 
Mbona hamjatuambia dini ya huyo aliyefanya ukatili huo?
Si kunakuwa na tabia ya kunasibisha jinai na dini?Mbona leo kimya?
Wavaa kobazi na Wagalatia wadai wapo Watu wengine wanaotumia majina tu ili kupata kazi au kurudia shule baada ya kufeli shule.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Siku naiona hii story nilisikitika sana yaani binadamu sasa ni vichaa wa akili kabisa
 
Kamanda Masejo amebainisha kuwa mtuhumiwa huyo alimkata shingo mtoto huyo na kitu chenye ncha kali na kutenganisha kichwa na kiwiliwili.[emoji3064][emoji848]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…