Bodaboda atekwa, akatwa mikononi na miguu, afungwa kamba

Bodaboda atekwa, akatwa mikononi na miguu, afungwa kamba

tshirt.jpg
 
Mwanaume anakufa iwapo atakaa siku 7 bila kula.

Huyu alikaa siku 3
mwanaume unakaa na kamba siku tatu na meno unayo, we mwanaume [/QUOTE]mwanaume unakaa na kamba siku tatu na meno unayo, we mwanaume gani sasa?
 
Alikaa na kamba muda mrefu mpaka akaoza, alikuwa anakula nn huo muda mrefu, mbona hakufa kwa njaa?
Unajua hizo kamba amesema walichanganya na mipira ile ya manati hivyo ina maana ilizuia damu kusafiri kufika sehemu za viganjani ndiyo maana tissues (nyama) zinazoishia sehemu aliyofungwa zilikufa na kuoza.
 
Wabongo makatili

Ova
mrangi hawa wadudu ukisikia wamemfunga mtu kwa kamba huwa wanazi-tight vibaya sana ili asiweze kufungua kabla hawajafika mbali. Siku moja alfajiri nilikuta jamaa amevamiwa na kunyang'anywa gari wakaenda kumtelekeza kwenye vichaka baada ya kumfunga kwa waya. Walivyokaza zile waya mpaka mikono ilikuwa imevimba. Angeendelea kukaa pale kwa muda mrefu hata yeye mikono ingekatwa.
 
Unajua hizo kamba amesema walichanganya na mipira ile ya manati hivyo ina maana ilizuia damu kusafiri kufika sehemu za viganjani ndiyo maana tissues (nyama) zinazoishia sehemu aliyofungwa zilikufa na kuoza.
mwanaume unakaaje na kamba siku tatu [/QUOTE]mwanaume unakaaje na kamba siku tatu na meno unayo?
 
Hakukaa siku ambazo angeweza kufa. Kma nakumbuka vizuri nadahni alisema siku mbili au tatu. Hizi mtu hawezi kufa kwa njaa. Ila hao jamaa ni zaidi ya mashetani.
huyo mwamba ni kibogoyo? alishindwaje kutumia meno kukata kamba?
 
mwanaume unakaaje na kamba siku tatu
mwanaume unakaaje na kamba siku tatu na meno unayo?
[/QUOTE]
Umesikiliza maelezo yake? Walimwekea mchanga mdomoni na matambara. Halafu mikono na miguu wamefunga kwa kukaza sana na damu haitembei. Husikii anasema alipoteza fahamu?
 
huyo mwamba ni kibogoyo? alishindwaje kutumia meno kukata kamba?
Wanafunga kwa nyuma. Wewe mikono igeuziwe kwa nyuma halafu na miguu ifungwe utajifunguaje? Hili zoezi unaweza kujaribu. Tafuta rafiki yako mwambie aku-tight na kamba halafu uonyeshe umwamba wako.
 
Wanafunga kwa nyuma. Wewe mikono igeuziwe kwa nyuma halafu na miguu ifungwe utajifunguaje? Hili zoezi unaweza kujaribu. Tafuta rafiki yako mwambie aku-tight na kamba halafu uonyeshe umwamba wako.
mkuu unanijua au unanisikiaga tu, njoo unifunge wewe umezavo halafu uache namba yako ya simu, kama kabla ya nusu saa kwisha sijakupigia nikikuambia njoo ufunge tena.
 
mkuu unanijua au unanisikiaga tu, njoo unifunge wewe umezavo halafu uache namba yako ya simu, kama kabla ya nusu saa kwisha sijakupigia nikikuambia njoo ufunge tena.
Haya uwe unasimulia na kuyaacha huko huko kijiweni. Ukiyaleta hapa kuna watu wenye experience na uzoefu wa kila aina.
 
Back
Top Bottom