Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Hao walimfanyia hivyo wasakwe na wafikishwe mahakamani na adhabu yao iwe ni kumhudumia mahitaji yake yote pamoja na familia yake kwa maisha yake yote. Kuwafunga watatoka baada ya muda fulani huku wakiwa wamemsababishia mtu ulemavu wa maisha
Yaani dume kwa dume! Na ulaaniwe."iwe ni kumhudumia mahitaji yake yote pamoja na familia yake kwa maisha yake yote".