Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Pikipiki angepewa huyo victim kama fidiaSambamba na hukumu hiyo, mahakama imetaifisha pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na mshitakiwa huyo yenye namba za usajiili MC 601 DLB na sasa ni mali ya serikali.
Mwendesha mashitaka wa polisi aliieleza mahakama kwamba Septemba 7 mwaka jana, mshitakiwa huyo alikodiwa na msichana mwenye miaka 24 ampeleke Kijiji cha Kidahwe, baada ya kukosa usafiri katika eneo hilo, na ndipo mwanaume huyo alipotekeleza ukatili huo walipokuwa njiani.