Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Kwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
Shida tu wakishapigwa full tank, pikipiki zao zikafungwa viredio uchwara vya kuimba mapambio ya kusifu, t-shirts za njao au kijani za mitano tena na vibendera vya kijani baaasi wanakengeuka... Ni watu wanaonunulika kirahisi sana wakihadaiwa na vitu vidogo..Kwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
View attachment 3343081
Hatari sana mkuuOgopa sana watu waliokata tamaa na ambao hawana cha kupoteza
Tatizo hawana akili na mfumo umewanyima akili .Wao wanadeal na lower utility.Wape ubwabwa na lita Tano za mafuta.Basi umemalizaKwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
View attachment 3343081
Hesabu ya bosi mkuu!Shida tu wakishapigwa full tank, pikipiki zao zikafungwa viredio uchwara vya kuimba mapambio ya kusifu, t-shirts za njao au kijani za mitano tena na vibendera vya kijani baaasi wanakengeuka... Ni watu wanaonunulika kirahisi sana wakihadaiwa na vitu vidogo..