stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mwanangu mmoja alikuf kwa ajali ya bodaboda. Nomewsiliana nae asubuhi tumeegana fresh halafu jioni napata taarifa kutoka kwa demu wake mshkaji amekufa. Bodaboda ni roho mkononiNi kazi ambayo pia inachukua maisha ya vijana wengi sana na wengine kubakia vilema na umasikini mkubwa.
Waendesha bodaboda wengi ni vijana wenye nguvu nyingi na kwa Taifa ndio nguvu kazi inayopaswa kutumika vizuri na kulijenga Taifa.
Nina mwanangu mmoja alikuf kwa ajali ya bodaboda. Nomewsiliana nae asubuhi tumeegana fresh halafu jioni napata taarifa kutoka kwa demu wake mshkaji amekufa. Bodaboda ni roho mkononi
Unajua nchi hii kuna vijana wangapi ni walimu ? Unajua UVCCM ina vijana wangapi ? Chadema wana vijana wangapi ? Sekta ya Afya imeajiri vijana wangapi ? Uvuvi kuna vijana wangapi na vijana wangapi ni machinga na wauza simu ?Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka