Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
Nilichogundua hata polisi wameshanyosha mikono juu hata kuwasimamisha wameachaView attachment 3692058
Kwa sàsa hivi vifo vya vijana kutokana na ajali za bodaboda ni vingi mno.
Vijana wanaendesha pikipiki bila kuwa na leseni na wakati mwingi hata bila kuwa na pikipiki hizo kusajiliwa.
Vijana huwa wala hawana helmet na wabapakia wenzao wawili au watatu zsidi, naarufu kama mishkaki.
Picha hiyo hapo juu ni leo, mshikaki ulioua vijana watatu.
Hii maarufu ya mshikaki, dereva hana leseni, abiria wawili zaidi, ameovertake kwa fujo na kakutana na Howo, tani 30, huko Tanga.
Hapo maisha yakatoweka.
Bodaboda zipigwe
Bodaboda wako above the laws!Nilichogundua hata polisi wameshanyosha mikono juu hata kuwasimamisha wameacha
Bodaboda Kam pikipiki chombo cha usafiri hakuna shida, shida ni hao wanaoviendeshaView attachment 3692058
Kwa sàsa hivi vifo vya vijana kutokana na ajali za bodaboda ni vingi mno.
Vijana wanaendesha pikipiki bila kuwa na leseni na wakati mwingi hata bila kuwa na pikipiki hizo kusajiliwa.
Vijana huwa wala hawana helmet na wabapakia wenzao wawili au watatu zsidi, naarufu kama mishkaki.
Picha hiyo hapo juu ni leo, mshikaki ulioua vijana watatu.
Hii maarufu ya mshikaki, dereva hana leseni, abiria wawili zaidi, ameovertake kwa fujo na kakutana na Howo, tani 30, huko Tanga.
Hapo maisha yakatoweka.
Bodaboda zipigwe
Na ndio tatizo kubwa, karibu wote utafikiru wanekula bangiBodaboda Kam pikipiki chombo cha usafiri hakuna shida, shida ni hao wanaoviendesha
Juzi jioni na-jog nimekuta mtu kafunikwa katikati ya barabara kafa. Abiria wa bodaboda iliovamia lori dereva wa bodaboda kakwepa abiria kaanguka lori likamsaga. Dereva wa bodaboda kapona.leo buza kanisan saa 12 usawa
wa meru sheli
boda imevaa kosta naamini jamaaa hajaomba maji
maana tulikuta kashatolewa
Bodaboda Kam pikipiki chombo cha usafiri hakuna shida, shida ni hao wanaoviendesha
Na abiria wanao-tolerate upuuzi wa dereva wa bodaboda nao ni kundi gani? Unakuta mtu kavaa suti bodaboda inajichoneka katikati ya malori abiria anakenua meno tu kama zuzu! Mwingine unakuta yupo busy anachat kwenye simu!$%#@%^&*Na ndio tatizo kubwa, karibu wote utafikiru wanekula bangi
wanakuaga speed sanaJuzi jioni na-jog nimekuta mtu kafunikwa katikati ya barabara kafa. Abiria wa bodaboda iliovamia lori dereva wa bodaboda kakwepa abiria kaanguka lori likamsaga. Dereva wa bodaboda kapona.
🤣🤣🤣🤣🤣Mimi sipandi bodaboda.
Cc Khantwe
Bodaboda zimenikuta mtu mzima, kwani zamani wakati hakuna bodaboda tulikuwa hatuzuruli?🤣🤣🤣🤣🤣
Hii inatokea sana.Juzi jioni na-jog nimekuta mtu kafunikwa katikati ya barabara kafa. Abiria wa bodaboda iliovamia lori dereva wa bodaboda kakwepa abiria kaanguka lori likamsaga. Dereva wa bodaboda kapona.