Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Halafu nimegundua ajali nyingi za bodaboda anayekufa ni abiriaJuzi jioni na-jog nimekuta mtu kafunikwa katikati ya barabara kafa. Abiria wa bodaboda iliovamia lori dereva wa bodaboda kakwepa abiria kaanguka lori likamsaga. Dereva wa bodaboda kapona.