Halafu nimegundua ajali nyingi za bodaboda anayekufa ni abiriaJuzi jioni na-jog nimekuta mtu kafunikwa katikati ya barabara kafa. Abiria wa bodaboda iliovamia lori dereva wa bodaboda kakwepa abiria kaanguka lori likamsaga. Dereva wa bodaboda kapona.
Zamani tulikuwa hatuna mambo mengi, sasa kijana wa miaka 18 anawahi wapi?Bodaboda zimenikuta mtu mzima, kwani zamani wakati hakuna bodaboda tulikuwa hatuzuruli?
Polisi atasimamisha wangapi maana jamaa ni wengi kama nzige. Aache kusimamisha daladala huko atapewa buku tatu aje asimamishe boda ambaye pengine hatampa cho chote? 😏Nilichogundua hata polisi wameshanyosha mikono juu hata kuwasimamisha wameacha
Mungu katupa akili,tusipozitumia tusimrudishie lawama. Sasa kama boda hawafati sheria Mungu afanyeje??Pikipiki imemuua kijana mmoja jirani wiki 2 zilizopita, kaacha mke na watoto 4,, kadogo kakiwa ni kachanga ka wiki 2 tu, mke alizaa kwa oparesheni,, yani hata machozi yawe mbali vipi ungelia tu, nililia kwa kuwaza mambo mengi, nilimuhurumia mwanamke,,, ooooh God kwanini unaruhudu haya jamani
Sometimes si wote wanaokufa kwa ajali ya pikipiki ni dereva wa boda pia sio wote hawafati sheria kuna wanaofata sheria ila sababu ya fikira kama zako hizi mnawaparamia makusudically,Mungu katupa akili,tusipozitumia tusimrudishie lawama. Sasa kama boda hawafati sheria Mungu afanyeje??
Kwahiyo ajali inaamua tu kutokea wakati sheria zote zimefatwa ??.Sometimes si wote wanaokufa kwa ajali ya pikipiki ni dereva wa boda pia sio wote hawafati sheria kuna wanaofata sheria ila sababu ya fikira kama zako hizi mnawaparamia makusudically,
Mkuu usinichoshe nina mawazo leoKwahiyo ajali inaamua tu kutokea wakati sheria zote zimefatwa ??.
Mi sichoshi mtuMkuu usinichoshe nina mawazo leo
Kwa uchunguzi wangu 90% ni abiria.Halafu nimegundua ajali nyingi za bodaboda anayekufa ni abiria
Ana maana kuwa bodaboda anaweza kufuata sheria vizuri tu ila dereva mpumbavu anaendesha gari akamvamia,hii pia inatokea sana ndio maana tunasema bodaboda sio usafiri mzuri.Kwahiyo ajali inaamua tu kutokea wakati sheria zote zimefatwa ??.
Bodaboda ni chanzo ya vilema,wajane,wagane,yatima. Hizi takataka zipigwe marufuku.Pikipiki imemuua kijana mmoja jirani wiki 2 zilizopita, kaacha mke na watoto 4,, kadogo kakiwa ni kachanga ka wiki 2 tu, mke alizaa kwa oparesheni,, yani hata machozi yawe mbali vipi ungelia tu, nililia kwa kuwaza mambo mengi, nilimuhurumia mwanamke,,, ooooh God kwanini unaruhudu haya jamani
Bodaboda anaovateki akitegemea gari zimpishe. Yaani siku hizi dereva kazi yako ni kubana kushoto kila sekunde ili Bodaboda apite na wakati huo huo mwingine anapitq kushoto. Hizi takataka zipigwe marufuku.Kwa kutazama tu picha, hapo mtu wa boda ni lazima alikuwa anaovertake na hakuchukua taadhari...
Unaona kabisa lorry limejaribu kutoka kushoto lakini boda kwa kupanic akaenda kujibamiza...
Wacha wavurugwe na malori hadi akili ziwakae sawa.Wanajifanya wamevurugwa Na maisha
WauweniBodaboda anaovateki akitegemea gari zimpishe. Yaani siku hizi dereva kazi yako ni kubana kushoto kila sekunde ili Bodaboda apite na wakati huo huo mwingine anapitq kushoto. Hizi takataka zipigwe marufuku.
Nakubali, maana huyo jirani yeye huwa anatoka na gari lake siku hiyo aliamua kutumia pikipiki kwa ajili ya foleni, maana ilikuwa jmosi ya tarehe 3, ndo kupata ajali na siku iliyofata akafariki, unatamani muda urudi nyuma kurekebisha makosa ndo haiwezekani tenaBodaboda ni chanzo ya vilema,wajane,wagane,yatima. Hizi takataka zipigwe marufuku.
Inasikitisha sana. Nina rafiki zangu wana hii michezo kujidai wana haraka wanaacha magari wote washawahi kukoswakoswa na israiliNakubali, maana huyo jirani yeye huwa anatoka na gari lake siku hiyo aliamua kutumia pikipiki kwa ajili ya foleni, maana ilikuwa jmosi ya tarehe 3, ndo kupata ajali na siku iliyofata akafariki, unatamani muda urudi nyuma kurekebisha makosa ndo haiwezekani tena