KERO Bodaboda wa Tanzania wameshindikana kwa tabia zao barabarani au wameendekezwa?

KERO Bodaboda wa Tanzania wameshindikana kwa tabia zao barabarani au wameendekezwa?

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Sasa hivi jamaa wanaleta vitimbi vyao hadharani na hamna kitu unaweza kuwafanya.

Ni kama wana utawala wao wapo dunia yao isiyo na sheria. Wao ndio mabingwa wa kubebana mishikaki na kuchomekea wengine kwa mbele kwa kisingizio cha wana haraka.
Tumepika bomu

Hawa bila kudhitiwa hawataheshimu sheria wala taratibu za jamii ya kistaarabu
 
Hio mindset ndio imeleta matatizo yote haya,wanaendesha pikipiki rafu,wanaona wao wana haki ya utumiaji wa barabara kuzidi wengine,na hua wana haraka muda wote

Serikali inawaangalia tu
Jamaa wanavuka barabara ovyo hadi kwenye red light wanakatiza tu hata hawajali usalama wao na abiria wao
 
Back
Top Bottom