Tetesi: Bodaboda wachoma gari(SUV) Arusha

Tetesi: Bodaboda wachoma gari(SUV) Arusha

Kwahyo bodaboda wao ndo police na mahakimu sio?

Sent from my D6708 using JamiiForums mobile app
 
Wale watu usipokuwa na cha moto wanakuua bora uwe na cha kuwatisha ili polisi waje
 
Ina maana mleta mada taarifa aliyonayo inawezekana ni SUV details za ni make au model gani hana mbona unaleta unnecessary league!

Sasa hiyo ina kuwa sio taarifa, huwezi kuleta taarifa ambayo inakuwa vague, bora angekaa kimya. Alafu na wewe unajiona unajuaaa
 
Ina maana mleta mada taarifa aliyonayo inawezekana ni SUV details za ni make au model gani hana mbona unaleta unnecessary league!

Hivi mimi nikianzisha thread hapa yenye kichwa cha habari "Bus lapinduka na kuua" nikaishia tu bus limeua utalewa?
 
Bodaboda kote ni km hamnazo, sasa fikria tena awe ni bodaboda wa Arusha na ile bangi, ni balaah

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuna taarifa kuwa kuna gari aina ya SUV limechomwa moto na madereva boda boda maeneo ya Sakina.

Ikumbukwe kuwa hili linaweza kuwa tukio la pili la bodaboda wa maeneo hayo kuchoma gari.

My take:
Ikiwezekana Serikali ikifungie kijiwe husika cha bodaboda ili iwe fundisho dhidi ya uhuni huu.

Ushawahukumu boda boda, na wataka kituo kifunguliwe, boda boda wa kipindi hiki wana busara sana, wana uongozi etc .... nakumbuka Prado ya kwanza kuchomwa moto, Yule Mama aliwaambia hawezi beba maiti yenye damu kwenye gari yake..... huo ndo ulikuwa mwanzo wa ugomvi mpaka kuchomwa, usiwahukumu kabla hujajua
 
Kama ni kweli, watanzania tuwe na tabia ya kutojichukulia sheria mikononi... Hope hicho kituo hata sasa hao dereva bodaboda hawapo..
mbona wakuu wa wilaya wanajichukulia sheria mkononi, au wao sio watanzania. Mf. DC wa hai na yule anayejiita Hapi wa dsm
 
Hawa jamaa wanajifanyaga wajanja sana...kuna siku mmoja kanichomekea nikamgonga wakajaa kibao eti wanatishia kuvunja kioo nikashuka na panga langu wote wakatulia
 
Boda boda nao ni janga jingine sijui kwanini wanajiona wanahaki ya kufanya lolote wanalotaka?
 
Sasa hiyo ina kuwa sio taarifa, huwezi kuleta taarifa ambayo inakuwa vague, bora angekaa kimya. Alafu na wewe unajiona unajuaaa
Ha ha ha! JF GREAT THINKERS!Hivi na wewe ni mmoja wao!
 
Ndio maana kuna kazi hazieshimiwi hata kidogo. Bodaboda, kondakta, bajaj, dreva wa daladala yani wameifanya hii sekta ionekane ya kihuni sana wakati ni ajira nzuri tu.
 
Kama ni yuleyule aliyelamba rambirambi za msiba mkubwa bila ajizi? Kweli atawakomesha.
Acha kumtia dhambi Gambo mambo ya rambirambi ni mfumo unaamua sio maamuzi ya kipeee au binafsi au ulitaka ajiuzulu kama madiwani!
 
Back
Top Bottom