Lavrov Sergey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 400
- 230
Kwahyo bodaboda wao ndo police na mahakimu sio?
Sent from my D6708 using JamiiForums mobile app
Sent from my D6708 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanamshika sharubu Gambo hawa.. aliyewasaidia kupata mikopo ya pikipiki zao... Miafrica ndio ilivyo
Ina maana mleta mada taarifa aliyonayo inawezekana ni SUV details za ni make au model gani hana mbona unaleta unnecessary league!
Ina maana mleta mada taarifa aliyonayo inawezekana ni SUV details za ni make au model gani hana mbona unaleta unnecessary league!
Huu ni wivu wa ChattleWenye magari wananyodo sana. Nawaunga mkono hao bodax2
Kuna taarifa kuwa kuna gari aina ya SUV limechomwa moto na madereva boda boda maeneo ya Sakina.
Ikumbukwe kuwa hili linaweza kuwa tukio la pili la bodaboda wa maeneo hayo kuchoma gari.
My take:
Ikiwezekana Serikali ikifungie kijiwe husika cha bodaboda ili iwe fundisho dhidi ya uhuni huu.
mbona wakuu wa wilaya wanajichukulia sheria mkononi, au wao sio watanzania. Mf. DC wa hai na yule anayejiita Hapi wa dsmKama ni kweli, watanzania tuwe na tabia ya kutojichukulia sheria mikononi... Hope hicho kituo hata sasa hao dereva bodaboda hawapo..
Heri yenu nyinyi Wazungu Mkuu.Wanamshika sharubu Gambo hawa.. aliyewasaidia kupata mikopo ya pikipiki zao... Miafrica ndio ilivyo
Ha ha ha! JF GREAT THINKERS!Hivi na wewe ni mmoja wao!Sasa hiyo ina kuwa sio taarifa, huwezi kuleta taarifa ambayo inakuwa vague, bora angekaa kimya. Alafu na wewe unajiona unajuaaa
Ndio maana nikasema WATANZANIAmbona wakuu wa wilaya wanajichukulia sheria mkononi, au wao sio watanzania. Mf. DC wa hai na yule anayejiita Hapi wa dsm
Acha kumtia dhambi Gambo mambo ya rambirambi ni mfumo unaamua sio maamuzi ya kipeee au binafsi au ulitaka ajiuzulu kama madiwani!Kama ni yuleyule aliyelamba rambirambi za msiba mkubwa bila ajizi? Kweli atawakomesha.
AsanteHeri yenu nyinyi Wazungu Mkuu.
Mkuu gari aina ya SUV ndio gari gani hiyo?