libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Huo ushirikiano wangekuwa wanauonesha kwa kukamata waharifu na kuwafikisha polisi wangesifiwa sana, lakini wao hujichukulia sheria mkononi.Kuna taarifa kuwa kuna gari aina ya SUV limechomwa moto na madereva boda boda maeneo ya Sakina.
Ikumbukwe kuwa hili linaweza kuwa tukio la pili la bodaboda wa maeneo hayo kuchoma gari.
My take:
Ikiwezekana Serikali ikifungie kijiwe husika cha bodaboda ili iwe fundisho dhidi ya uhuni huu.