Shining Light
JF-Expert Member
- Jan 8, 2024
- 406
- 523
Hivi unadhani wanaopata ajali ni wasi ona leseni pekee?Hivi bodaboda wanapataje liseni, Maana ake uwendeshaji wakie unaweza kuwa rough sana mpaka unajiuliza huyu mtu amesoma sheria za barabara, Kwa namna moja au nyingine hii ndio sababubu kubwa sana ya bodaboda nyingi jijini Dar es Salaam kupata Ajali.
Mtu yupo kwenye foleni ila anakimbiza pikipiki balaa, mara wagongane na watu barabarani wakiwa wanavuka, mara na baiskelo, mara jali hio.. Tafrani tu loh!
AiseeKama watoa leseni wenyewe wanakuambia leseni haiendeshi chombo cha moto unategemea nini
kwan uongoKama watoa leseni wenyewe wanakuambia leseni haiendeshi chombo cha moto unategemea nini