GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja.
Bodi ya Ligi ( TPLB ) chini ya Mwenyekiti wake Almasi Kassongo hivi mliwaza nini mpaka mkasena kuwa Tuzo ya MVP ya Msimu ishindaniwe na akina Yannick Bangala Yanga SC, Henock Inonga Simba SC na Fiston Mayele Yanga SC?
Hivi kuna Mpumbavu au hata Mwendawazimu ambaye kwa haya Majina tu hatojua kuwa hapa mnayetaka ashinde MVP wa NBC Premier League ni Fiston Mayele wa Yanga SC ili Kumpoza kwa Kukosa Kwake Kiatu cha Dhahabu cha Ufungaji Bora?
Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi ) nakuuliza Swali Fiston Mayele angeshinda Ufungaji Bora Juzi katika hii 'Category' yako ungemuweka?
Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi ) kama kweli huna au huhitaji Upendeleo wowote kwa Fiston Mayele kwanini katika 'Category' hii ya Tuzo mnazoziandaa hujamuweka George Mpole? Kwani ukiwa Mfungaji Bora huwezi pia kuwa MVP wa Ligi Kuu ya NBC?
GENTAMYCINE nikiwaambieni hamna Akili na Uyanga wenu pamoja na Pesa za GSM Wanazowahongeni zinawatesa mnanikasirikia.
Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi) sasa Mimi GENTAMYCINE nakuamuru upesi sana ili twende sawa na tutende Haki mtoe hapo Yannick Bangala na muweke George Mpole ili 'Nominees' wa hiyo Tuzo wabakie kuwa ni Henock Inonga Simba SC, George Mpole Geita Gold FC na Fiston Mayele Yanga SC sawa?
Badilika upesi Almasi Kassongo Oky?