Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

Mambo mengi kuhusu maendeleo ya mpira tunajifunza na kutolea mfano huko Ulaya. Msimu wa 2020/2021 mfungaji bora wa EPL alikuwa HK, mfungaji na. 2 alikuwa MS. Katika nomination za mchezaji bora wa EPL HK hakuingia hata kumi bora badala yake MS aliingia kumi bora na ilibakia kidogo aibuke mchezaji bora KDB akawa amechukua. Kilichotokea kwa Mpole ni jambo la kawaida kabisa na ipo mifano mingi.
Huo ni mfano mmoja tu na iko mingi.
 
UTARATIBU WA FIFA UPO KAMA IFUATAVYO.

1.Wanaangali mchezaji aliyefunga MAGOLi mengi zaidi kwenye mashindano.

2.kama wachezaji wamefungana wame( tie) MAGOLi aliyecheza MICHEZO MICHACHE ndio anapewa ufungaji Bora.

3.kama wote WAMECHEZA michezo sawa wanaangalia Mchezaji MWENYE Asisist nyingi.

KAMA TUNGEKUWA TUNAFUATA SHERIA ZA FIFA SAIDO ANGEKUWA MFUNGAJI BORA NBC 2022-2023.

JF
 
Back
Top Bottom