Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

MAKOLOKOLO watapinga [emoji16]
 
Wameamua kumpa tu Hyo tuzo. Etie mayele mchezaji bora?? Kigezo ni kipi??? Unamuacha mfungaji bora kwenye tatu bora yako
 
Watu wa Simba mnataka kumalizia hasira zenu kwa Mayele.

Sasa hivi kila mkipoint mchezaji watu wanachukua naona Yusuph Bakheresa kawapora tena kiungo mkabaji.
 
Kwa alichofanyiwa Mayele na Waamuzi wasiojua chochote hata akipewa uMVP nitaona sawa tu. Sijui kwa nini offside za Tanzania ni tofauti na za Kenya?
Vipi kichwa cha kagere vs coastal union, mugalu vs mbeya city?
 
Trash MpeNi na kiatu kabisa
 
Mambo mengi kuhusu maendeleo ya mpira tunajifunza na kutolea mfano huko Ulaya. Msimu wa 2020/2021 mfungaji bora wa EPL alikuwa HK, mfungaji na. 2 alikuwa MS. Katika nomination za mchezaji bora wa EPL HK hakuingia hata kumi bora badala yake MS aliingia kumi bora na ilibakia kidogo aibuke mchezaji bora KDB akawa amechukua. Kilichotokea kwa Mpole ni jambo la kawaida kabisa na ipo mifano mingi.
 

 
Kasongo alishaonesha anakula vya GSM toka zamani, jamaa ni mswahili corrupt.
 
Utatukanwa hadi basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…