Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

Tushawafungulia njia Rivers utd kaz kwao
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]wawapasue utopolo
 
Itatusaidia nini sasa? Mpira umeisha na tumefungwa full stop!
Nimeamua kuandika Ili ujumbe uwafikie bodi ya Ligi, kawaida ya mashabiki wengi wa timu iliyo shinda uwa awaoni madhaifu ya waamuzi mpaka siku ikitokea wamepoteza na uchezeshaji ukiwa si wa haki.
Mimi nimejaribu kufuatilia mechi zake za nyuma alizowahi kuchezesha hasa mechi kubwa tabia yake uwa inajirudia.
Labda Mimi Nina mihemko Nasubiria mechi nyingine , ila Sina shaka na nilicho kiandika.
 
Acha malalamiko uchwara ndugu. Refa kawa fair kwa kiasi kikubwa. Anawazidi mbali akina Kayoko na Aragija.
 
Nimeamua kuandika Ili ujumbe uwafikie bodi ya Ligi, kawaida ya mashabiki wengi wa timu iliyo shinda uwa awaoni madhaifu ya waamuzi mpaka siku ikitokea wamepoteza na uchezeshaji ukiwa si wa haki.
Mimi nimejaribu kufuatilia mechi zake za nyuma alizowahi kuchezesha hasa mechi kubwa tabia yake uwa inajirudia.
Labda Mimi Nina mihemko Nasubiria mechi nyingine , ila Sina shaka na nilicho kiandika.
Moja wapo ya mapungufu yake ni kuwapa utopolo faulu za michongo tena karibu na goli.
 
Nimeamua kuandika Ili ujumbe uwafikie bodi ya Ligi, kawaida ya mashabiki wengi wa timu iliyo shinda uwa awaoni madhaifu ya waamuzi mpaka siku ikitokea wamepoteza na uchezeshaji ukiwa si wa haki.
Mimi nimejaribu kufuatilia mechi zake za nyuma alizowahi kuchezesha hasa mechi kubwa tabia yake uwa inajirudia.
Labda Mimi Nina mihemko Nasubiria mechi nyingine , ila Sina shaka na nilicho kiandika.
Vip kama mngeshinda nyie ungelithubutu kuandika ulichoandika hapa au ungelikuwa unawadhiaki simba na kuwasema kuwa hawana mpira wowote, acha kutafuta huruma ya refa kubali umegongwa next time jipange ili umfunge mtani.

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.

Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.

Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Mtatoa visingizio vyote wenzenu washawatoboa
 
Refa hatoshi pia kwa sababu alitoa faulo za uongo kwa Yanga ambazo hawakuguswa wachezaji wa Yanga.

Tena faulo za uongo 3 karibu na lango la Simba ametoa.
Hizi hawatasema ndio maana hata mtu asiejua mpira kama mimi naona uto wana tabi sehemu
 
Back
Top Bottom