reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,203
- 28,789
As usual [emoji2][emoji2][emoji2]Malalamiko fc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As usual [emoji2][emoji2][emoji2]Malalamiko fc
Bwahaaaa....hahhahhaahahMkuu kasome kozi ya urefarii zinazokuja uchezeshe wewe
Hahahahaha dahTuondolee machozi hapa[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent from my SAMSUNG-SM-G900A using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji28]wazee wa futureKibu alijua haya ndio maana Akatungua akiwa Mbali.....
malalamiko fc bac tuseme bao la kwanza tumelimwaga nje japo ni halali, je la pili mlivyokunjwa vile hata hamkubali tu yaisheKwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.

Unavyojitikisa ndivyo inazidi kuingia, Kaa Kwa kutuliaKwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Mkuu naona una furaha sana kwa kipigo walichokipata hawa wahuni ha haBwahaaaa....hahhahhaahah
aliyeonesha kuwa mpira ni Kona ni mshika kibendera...yeye ndiye aliyekua karibu zaidi na tukioKwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
refa hakuwa mbaya sana janaKwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Je, ilikuwa ni kona kweli?aliyeonesha kuwa mpira ni Kona ni mshika kibendera...yeye ndiye aliyekua karibu zaidi na tukio
Tuanze kuelezea makando kando ya marefa mpaka mkapata unbiten ya mchongo? Na hata msimu huu wa NBC PL makosa ya marefa imewafanya muwe mnaongoza ligi la sivyo mngekuwa nafasi ya 5 mpaka profesa wenu w mchongo analia liaBahati nzuri nimebahatika kumuuliza mdau mmoja kigogo anayehusika na maswala haya,menieleza wamebaki na Marefa wawili tu wenye uzoefu na wenye beji ya FIFA yaani Jonesia na Kayoko marefa wengine wenye uzoefu na Maarufu wamefungiwa na watarudi mwakani.
Ina maana upo uwezekano mkubwa uyu mama Jonesia akapewa mechi kubwa nyingine nawashauri Yanga tujipange akiwa anachezesha tujue Kuna wachezaji 13.
Wewe na msika kibendera nani alion tukio kwa usahihi mpaka ukatae sio kona au ni huo mwiko umekuganda huko nyuma?Je, ilikuwa ni kona kweli?
Aulizwe mshika kibendera....mbona lawama zinaenda kwa mwamuzi wa kati sijaona popote utoporoooo wakimlalamikia mshika kibendera 😀😀😀Je, ilikuwa ni kona kweli?
Achana nao ilikua kona aliugusa mpiraWewe na msika kibendera nani alion tukio kwa usahihi mpaka ukatae sio kona au ni huo mwiko umekuganda huko nyuma?
Mechi ijayo Hersi Said achezeshe,washika,bendera wawe Haji Manara na Ali Kamwe na kamisaa awe Mzee Mpili.Mimi nimekubali tumefungwa na ndivyo soka lilivyo kumpiga mtani Kila siku ata wao wangekata tamaa.
Shida ni uyu mama wanalazimisha achezeshe wakati anashida katika maamuzi.