Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

Nasikia gongowazi wana mpango wa kuvaa kaniki kwenye mechi ijayo.Walimlaumu mganga wao akawaambia walivunja mwiko kwani weusi wa jezi ulikuwa haujakolea hivyo mechi ijayo wameamua kuvaa kaniki.Akili za gongowazi wanazijua wenyewe.
 
Mechi ijayo Hersi Said achezeshe,washika,bendera wawe Haji Manara na Ali Kamwe na kamisaa awe Mzee Mpili.
Gongowazi akifungwa lazima iwepo sababu.Kocha wao anajua kiswahili wanamsumbua tu mkalimani.Kipigo kingekuwa goli 5 washukuru sana.
Haswaa
 
Mimi nimekubali tumefungwa na ndivyo soka lilivyo kumpiga mtani Kila siku ata wao wangekata tamaa.
Shida ni uyu mama wanalazimisha achezeshe wakati anashida katika maamuzi.
Niambie ktk kumbukumbu zako ni derby gani ya Simba vs Yanga ambayo iliisha bila refa kutupiwa lawama,kwakifupi kila timu inayofungwa lazima ilalamike kuwa refa aliwaonea.
 
Niambie ktk kumbukumbu zako ni derby gani ya Simba vs Yanga ambayo iliisha bila refa kutupiwa lawama,kwakifupi kila timu inayofungwa lazima ilalamike kuwa refa aliwaonea.
Mimi Lengo Langu ilikua ujumbe uwafikie wahusika na kwabahati nzuri mmoja wa vigogo wa bodi nimeongea nae na tatizo wanalifahamu.
Bahati nzuri zaidi mmoja wa waangalizi ambaye akitokea nje ya nchi niliongea naye na mtazamo wake haukua mbali na nilichokiona Mimi.
Kwangu Mimi uyu Refa haitajiki Tena Kwa mechi kubwa kwakua amechezesha za kutosha na ameshindwa kujisahihisha.

Apewe mechi za kawaida.
NB: kufungwa Kwa Yanga na mtani wake Simba ni jambo linalo tokea marachache katika miaka kadhaa Kwaiyo kwangu haikua Big Issue, tatizo ni namna ya uchezeshaji wake Jonesia.
 
A load of bullshit.Utajificha kwenye kumlaumu refa na kudai "eti" kuna mwangalizi wa kutoka nje ya Nchi.
Refa aliyechezesha na badge ya FIFA na amefika hapo kwa weledi na juhudi zake baada ya kupasi Cooper Test wanayopitia waamuzi.
Kinachokukwaza ni matokeo ya mechi na baada ya kuwa muungwana na kukubali uhalisia unamtupia jumba bovu refa.
Wake up and smell the coffee.Hayo ya bodi ya ligi eti imewafikia ni a piece of garbage.Kama unapinga mtaje huyo so called kigogo.You are in denial.
Jitayarisheni kwa mechi nyingine hii imeshapita na matokeo yanajulikana.Simba 2 Yanga 0.
 
Mimi Lengo Langu ilikua ujumbe uwafikie wahusika na kwabahati nzuri mmoja wa vigogo wa bodi nimeongea nae na tatizo wanalifahamu.
Bahati nzuri zaidi mmoja wa waangalizi ambaye akitokea nje ya nchi niliongea naye na mtazamo wake haukua mbali na nilichokiona Mimi.
Kwangu Mimi uyu Refa haitajiki Tena Kwa mechi kubwa kwakua amechezesha za kutosha na ameshindwa kujisahihisha.

Apewe mechi za kawaida.
NB: kufungwa Kwa Yanga na mtani wake Simba ni jambo linalo tokea marachache katika miaka kadhaa Kwaiyo kwangu haikua Big Issue, tatizo ni namna ya uchezeshaji wake Jonesia.
Asilimia kubwa mechi anazochezesha refa huyu gogowazi atapoteza kiufupi na anachezesha vizuri sana ni kama Taylor na Chelsea imekuwa kawaida .
 
Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.

Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.

Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.

Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
mngeshinda mapambio yangekuwa mengi sana kwake mmefungwa, hafai tena mmekuwa hadiiii washaur wa bodi😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom