Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaMechi ijayo Hersi Said achezeshe,washika,bendera wawe Haji Manara na Ali Kamwe na kamisaa awe Mzee Mpili.
Gongowazi akifungwa lazima iwepo sababu.Kocha wao anajua kiswahili wanamsumbua tu mkalimani.Kipigo kingekuwa goli 5 washukuru sana.
Niambie ktk kumbukumbu zako ni derby gani ya Simba vs Yanga ambayo iliisha bila refa kutupiwa lawama,kwakifupi kila timu inayofungwa lazima ilalamike kuwa refa aliwaonea.Mimi nimekubali tumefungwa na ndivyo soka lilivyo kumpiga mtani Kila siku ata wao wangekata tamaa.
Shida ni uyu mama wanalazimisha achezeshe wakati anashida katika maamuzi.
Mimi Lengo Langu ilikua ujumbe uwafikie wahusika na kwabahati nzuri mmoja wa vigogo wa bodi nimeongea nae na tatizo wanalifahamu.Niambie ktk kumbukumbu zako ni derby gani ya Simba vs Yanga ambayo iliisha bila refa kutupiwa lawama,kwakifupi kila timu inayofungwa lazima ilalamike kuwa refa aliwaonea.
Asilimia kubwa mechi anazochezesha refa huyu gogowazi atapoteza kiufupi na anachezesha vizuri sana ni kama Taylor na Chelsea imekuwa kawaida .Mimi Lengo Langu ilikua ujumbe uwafikie wahusika na kwabahati nzuri mmoja wa vigogo wa bodi nimeongea nae na tatizo wanalifahamu.
Bahati nzuri zaidi mmoja wa waangalizi ambaye akitokea nje ya nchi niliongea naye na mtazamo wake haukua mbali na nilichokiona Mimi.
Kwangu Mimi uyu Refa haitajiki Tena Kwa mechi kubwa kwakua amechezesha za kutosha na ameshindwa kujisahihisha.
Apewe mechi za kawaida.
NB: kufungwa Kwa Yanga na mtani wake Simba ni jambo linalo tokea marachache katika miaka kadhaa Kwaiyo kwangu haikua Big Issue, tatizo ni namna ya uchezeshaji wake Jonesia.
mngeshinda mapambio yangekuwa mengi sana kwake mmefungwa, hafai tena mmekuwa hadiiii washaur wa bodi😂😂😂😂😂Kwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.