Nimeamua kuandika Ili ujumbe uwafikie bodi ya Ligi, kawaida ya mashabiki wengi wa timu iliyo shinda uwa awaoni madhaifu ya waamuzi mpaka siku ikitokea wamepoteza na uchezeshaji ukiwa si wa haki.Itatusaidia nini sasa? Mpira umeisha na tumefungwa full stop!
Acha malalamiko uchwara ndugu. Refa kawa fair kwa kiasi kikubwa. Anawazidi mbali akina Kayoko na Aragija.Nimeamua kuandika Ili ujumbe uwafikie bodi ya Ligi, kawaida ya mashabiki wengi wa timu iliyo shinda uwa awaoni madhaifu ya waamuzi mpaka siku ikitokea wamepoteza na uchezeshaji ukiwa si wa haki.
Mimi nimejaribu kufuatilia mechi zake za nyuma alizowahi kuchezesha hasa mechi kubwa tabia yake uwa inajirudia.
Labda Mimi Nina mihemko Nasubiria mechi nyingine , ila Sina shaka na nilicho kiandika.
Wanyama/animals wote huwa wanaupungufu wa mitazamoTushawafungulia njia Rivers utd kaz kwao
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]wawapasue utopolo
Ona hili tope hili! Ujinga mtupu!Tushawafungulia njia Rivers utd kaz kwao
[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]wawapasue utopolo
Sawa tope kubwaOna hili tope hili! Ujinga mtupu!
Moja wapo ya mapungufu yake ni kuwapa utopolo faulu za michongo tena karibu na goli.Nimeamua kuandika Ili ujumbe uwafikie bodi ya Ligi, kawaida ya mashabiki wengi wa timu iliyo shinda uwa awaoni madhaifu ya waamuzi mpaka siku ikitokea wamepoteza na uchezeshaji ukiwa si wa haki.
Mimi nimejaribu kufuatilia mechi zake za nyuma alizowahi kuchezesha hasa mechi kubwa tabia yake uwa inajirudia.
Labda Mimi Nina mihemko Nasubiria mechi nyingine , ila Sina shaka na nilicho kiandika.
Watasema hilo la pili sio halali maana limefungwa juu ya hilo lililoondolewa kwa maana ukifuta hilo la kwanza la pili nalo linaondoka.Basi tutoe goli la kwanza libaki moja [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ni juzi tu mzee Kishimba alitoa wazo la kuanzishwa kwa wizara ya maalalamiko na mang'uniko Tz.Iundwe tu Wizara ya malalamiko , iwahudumie Vyura FC
Vip kama mngeshinda nyie ungelithubutu kuandika ulichoandika hapa au ungelikuwa unawadhiaki simba na kuwasema kuwa hawana mpira wowote, acha kutafuta huruma ya refa kubali umegongwa next time jipange ili umfunge mtani.Nimeamua kuandika Ili ujumbe uwafikie bodi ya Ligi, kawaida ya mashabiki wengi wa timu iliyo shinda uwa awaoni madhaifu ya waamuzi mpaka siku ikitokea wamepoteza na uchezeshaji ukiwa si wa haki.
Mimi nimejaribu kufuatilia mechi zake za nyuma alizowahi kuchezesha hasa mechi kubwa tabia yake uwa inajirudia.
Labda Mimi Nina mihemko Nasubiria mechi nyingine , ila Sina shaka na nilicho kiandika.
Mtatoa visingizio vyote wenzenu washawatoboaKwa unyenyekevu mkubwa nawaomba bodi ya Ligi kutompatia mechi zenye Presha kubwa uyu Refa hii itamsaidia Jamii kutomuona Refa wa hovyo na kuendelea kuaninika.
Mechi ya Leo ya Simba na Yanga ukiacha makosa ya Line 2 ya kuwapa Simba Kona iliyo zaa goli la kwanza ambayo haikua sahihi tena akiwa mita Moja kutoka mpira ulipo Refa alikua akifanya makosa mengi.
Naomba nyinyi bodi ya Ligi au Chama Cha marefa wajifungie na kuangalia Kwa utulivu mechi hii na nyingine zote kubwa hasa za Simba na Yanga mnaweza kupata pa kuanzia.
Kumuondoa katika marefa wa hizi mechi kubwa kutamsaidia yeye na nyinyi bodi ya Ligi kuonekana mpo Fair.
Hizi hawatasema ndio maana hata mtu asiejua mpira kama mimi naona uto wana tabi sehemuRefa hatoshi pia kwa sababu alitoa faulo za uongo kwa Yanga ambazo hawakuguswa wachezaji wa Yanga.
Tena faulo za uongo 3 karibu na lango la Simba ametoa.
Kuna fala mmoja naye kajichanganya kasema atakunywa flagile na mzinga wa konyagi Simba ikitoa draw au sareKibu alijua haya ndio maana Akatungua akiwa Mbali.....
Leo kuna watu watakumbuka walivyobakwa wakaachwa na vinyesi kwenye suruali zaoππππKwenye msiba kila mtu huwa anatafuta sababu ya kumpa uchungu ili alie leo kila mtu atasema yake ili alie kwa sauti kumshinda mwenzie