Bodi ya Ligi, huyu Refa Jonisia hatoshi kwa mechi zenye presha kubwa

malalamiko fc bac tuseme bao la kwanza tumelimwaga nje japo ni halali, je la pili mlivyokunjwa vile hata hamkubali tu yaishe
 
Kumbe line 2 alikuwa mita Moja kutoka kwenye tukio! Malalamiko ya Nini sasa

 
Reactions: Tui
Unavyojitikisa ndivyo inazidi kuingia, Kaa Kwa kutulia
 

Refa amekataaa magoli yenu mangapi?
 
aliyeonesha kuwa mpira ni Kona ni mshika kibendera...yeye ndiye aliyekua karibu zaidi na tukio
 
refa hakuwa mbaya sana jana
 
Tuanze kuelezea makando kando ya marefa mpaka mkapata unbiten ya mchongo? Na hata msimu huu wa NBC PL makosa ya marefa imewafanya muwe mnaongoza ligi la sivyo mngekuwa nafasi ya 5 mpaka profesa wenu w mchongo analia lia
 
Reactions: Tui
Wewe na msika kibendera nani alion tukio kwa usahihi mpaka ukatae sio kona au ni huo mwiko umekuganda huko nyuma?
Achana nao ilikua kona aliugusa mpira
 
Reactions: Tui
Mimi nimekubali tumefungwa na ndivyo soka lilivyo kumpiga mtani Kila siku ata wao wangekata tamaa.
Shida ni uyu mama wanalazimisha achezeshe wakati anashida katika maamuzi.
Mechi ijayo Hersi Said achezeshe,washika,bendera wawe Haji Manara na Ali Kamwe na kamisaa awe Mzee Mpili.
Gongowazi akifungwa lazima iwepo sababu.Kocha wao anajua kiswahili wanamsumbua tu mkalimani.Kipigo kingekuwa goli 5 washukuru sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…