Bodi Ya Ligi imetoa maelezo marefu yasiyokuwa na maana wala misingi yoyote ya kikanuni

Weka hayo maelezo ya FIFA tuyaone!
 
Wapi pameandikwa kuwa tukio linatakiwa liwe kubwa ndiyo mechi iahirishwe ?

Halafu ukubwa wa tukio unapimwaje?
Hivi unaelewa umuhimu wa mechi kuchezwa? Yaani mpaka mechi iahirishwe kwa mujibu wa CAF inahitajika sababu kubwa sana. Mfano mchezo wa fainali kati ya RS Berkane na USM Alger kulikuwa na sababu kubwa ambayo ingeweza kuahirisha na kusogeza tarehe ya mchezo mbele, Lakini CAF walisema mchezo lazima upigwe!
 
Wapi pameandikwa kuwa tukio linatakiwa liwe kubwa ndiyo mechi iahirishwe ?

Halafu ukubwa wa tukio unapimwaje?
Onesha ni kanuni ipi inatamka ni lazima jeshi la polisi litoe taarifa? Kanuni ya 34:2(1.3) inatamka kuwa "Sababu yenye msingi itakayokubaliwa na TFF? Uzito hapa ni sababu itakayokubaliwa na TFF?hiyo ya taarifa kutolewa na jeshi la polisi umeitoa kwenye kanuni namba ngapi?
 
Mods tunaomba muunganishe nyuzi zote za malalamiko ya topolo hii wiki yote maana jf imejaa malalamiko tu mara bodi ya ligi mara karia mara manara, tunaomba mziunganishe zote.
 
Ona ulivyo mjinga mjinga, Ulianza kutaja vipengele vyote nikachambua kipengele kimoja kimoja, unadhani ninamaanisha lazima vyote vitokee! La hasha! Hapo nakuonyesha kwamba katika hivyo vipengele hakuna hata kimoja ambacho kinahalalisha ujinga wa TPLB
Wewe ni kilaza na hujui kusoma kanuni,kwa taarifa yako kanuni no 34:1(1.3) inaeleza sababu yoyote itakayokubaliwa na TFF,yaani hata kama bodi wakisema wameahirisha mechi kwa sababu Mangungu amefiwa na mjomba wake,TFF wakiikubali hiyo sababu basi hiyo mechi itaahirishwa.
 
Safi sana, hiyo sababu TPLB Itaenda kueleza huko CAF huyo mjomba wake Karia ni nani 😀
 
Nilikuwa sijaprove kwamba humu jf Kuna akili ndogo nyingi sasa nimeprove hiki kitu,,ndio maana kifungu icho kimekomaliwa sana bila kujua ni sababu zipi za dharura zinakubalika kikanuni!
 
Ona ulivyo kilaza, Hivi unajua suala la uzito kiasi cha kuahirisha mchezo kwa mujibu wa CAF? Yaano sababu za kiusalama zenye uzito wa kuahirisha mchezo alafu usimuone Muliro au polisi ikitoa tamko? Hakunaga huo upuuzi
 
Una
Unateseka bure, yanga haiwezi kupata points 3 kama mnavyotaka, Yanga itacheza mpira, hayo yashapita mtabishana bure mwishowe hakuna faida yeyote. NARUDIA TENA MTABISHANA BURE NA MSIAMBULIE CHOCHOTE, TUSUBIRIE TAREHE NYINGINE KIPIGWE
 
TUTAKUWEPO
 
Ukizungumzia Dola unazungumzia Serikali,Serikali haitakiwi kutoa matamko yanayokinzana na mpira zaidi ya mamlaka ya mpira,dola itatoa taarifa yake kwa Bodi ya ligi na TFF kumbuka miongoni mwa wanausalama wa mchezo ni polisi.

Polisi anakujukumu la kuiwasilisha taarifa kwa Bodi ya ligi na Bodi ya Ligi afanye maamuzi.
 
Ona ulivyo kilaza, Hivi unajua suala la uzito kiasi cha kuahirisha mchezo kwa mujibu wa CAF? Yaano sababu za kiusalama zenye uzito wa kuahirisha mchezo alafu usimuone Muliro au polisi ikitoa tamko? Hakunaga huo upuuzi
Kilaza ni wewe unatajataja CAF bila kuweka hapa sehemu ya kanuni za CAF ulizonukuu zikisema.Halafu hujui kuwa CAF haihisiki kwenye kanuni za bodi ya ligi. umeambiwa uweke hapa hizo kanuni za CAF unazozirejea lakini umeshindwa
 
Nilikuwa sijaprove kwamba humu jf Kuna akili ndogo nyingi sasa nimeprove hiki kitu,,ndio maana kifungu icho kimekomaliwa sana bila kujua ni sababu zipi za dharura zinakubalika kikanuni!
Wewe ni kilaza huna ubavu wa kupingana kwa hoja na mie,wewe na vilaza wenzako mnachagua vipengele mnavyopenda na hamsomi vizuri kanuni ambayo inaeleza wazi sababu mojawapo ya hizo inatosha kuahirisha mechi Mlivyo vilaza mnaomba mnataka Simba ikatwe points kwa makosa ambayo si yake huo ni uendawazimu.
 
Shida yenu mnakimbilia kwenye Ugaidi,ila viashiria vya usalama havipimwi hivyo.
Hiyo ni mifano tu, iliyowekwa kwenye kanuni.

Ni swala la kun’gamua baadhi ya mtukio na kuona ninikitaweza kutokea endapo mechi itafanyika kwa tension ile.
 
Hiyo mechi lazima irudiwe? Wagawane points ligi iendelee
 
Ne Nenda kaharishe
 
Vilaza namba Moja ni viongozi wako wanafatia mbumbumbu fata upepo kama wewe hapo,,kanuni iyo unayoisema sababu za dharura ambazo bodi wameziainisha aziwezi kupelekea mechi kuahirishwa labda kama una walakini kichwani mwako na ubishi wa kiha,,sasa hoja Gani unayo wewe zaidi ya vichekesho tu!
 
Shida yenu mnakimbilia kwenye Ugaidi,ila viashiria vya usalama havipimwi hivyo.
Hiyo ni mifano tu, iliyowekwa kwenye kanuni.

Ni swala la kun’gamua baadhi ya mtukio na kuona ninikitaweza kutokea endapo mechi itafanyika kwa tension ile.
Basi kama ndio hizo hoja walizoainisha kwenye barua inayotembea kwenye mitandao acha kikaumane cas!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…